Ni kweli kwamba JK anaogopa kwenda UDSM?

tindikalikali

JF-Expert Member
Jan 14, 2011
4,855
1,117
Kwa muda mrefu sasa, nasikia uvumi kwamba katika vitu ambavyo jk anaviogopa ni kwenda pale mlimani. Je hili lina ukweli?
 
<p>
<font size="3">Hawezi kwenda kwa shughuli official, labda kuwe na <b>harusi</b> Nkrumah Hall!</font>
</p>
<p>&nbsp;</p>
hahaha pj!umenifurahisha!
kwa hali ilivyo ni afadhali aogope kwenda,anaweza patwa na maafa!hata kama ni harusi avae kapelo na sun goggles kama superstar ili asitambulike kirahisi
 
Ila asiogope sana...unless ni wanakigoda wamemwita..kama ni wale vijana intellectuals...mh....siku hizi wanapayuka hovyo na hawajengi hoja...naona tofauti kubwa na udsm ya miaka ya nyuma...ila kama kuna Kigoda cha nyerere ..hapo akimbie!
 
<p>
amewahi kualikwa akagoma?<img src="/images/styles/JamiiForums/smilies/spy.gif" border="0" alt="" title="Spy" smilieid="295" class="inlineimg" /><img src="/images/styles/JamiiForums/smilies/spy.gif" border="0" alt="" title="Spy" smilieid="295" class="inlineimg" />
</p>
<p>&nbsp;</p>
kwani ilikuwaje ile fundraising ya udsm ikafanyikie karimjee?nadhani inakuwa defined kama kukimbia.wamemmisi wenzio!
 
ndo ukamuulize JK anaogopa nini?

Naamini hana cha kuogopa. Hajapanga kwenda huko. Ikiwepo sababu ya kwenda atakwenda. Wasomi wenyewe wapo mitaani kukimbizana na wamachinga kutafuta shilingi tangu lini shilingi ikamtosha mtu? Enzi zetu UDASA, DARUSO, DUPSA vilikuwa na uhai. Wasomi akina Haroub Othman, Chachage, Shivji, Ken Edwards, Horace Campbel, walikuwa moto wa kuotea mbali. Kulikuwa na mijadala yenye mantiki na maslahi kwa taifa. Leo hii ni CHADEMA, CCM, CHADEMA, CCM, CHADEMA, CCM.

Rais afuate nini huko?

Wasomi wenyewe akina Kitila, Lwaitama, kazi ni kutukana serikali tu bila kujua hiyo serikali imejaa mapandikizi ya CHADEMA
 
Gulp!
Mamkwe naomba majina ya mapandikizi ya CDM serikalini...
 
Anaogopa kwenda maana anajua maswali atayoulizwa hana majibu hata akipewa week kabla!! Moja...unahusika na richmond...ww uliwaleta unasemaje kuhusu hilo?au bado huwajui wkt mmiliki umewahi kutana nae shinyanga kwneye miradi yake??na amekuja ikulu kwako??
 
Mwaliko haujaupata!! Mbona UDOM wanakomwalika na kumpa Udaktari wa Heshima anakwenda mara kwa mara, tatizo UDSM ni kulalamika tu wala hamjachukua jitihada za makusudi kumwalika RAIS
 
Back
Top Bottom