babu wa loliondo kaongeza mapato katika wilaya kwa kuongeza idadi ya magari yanayolipa ushuru | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

babu wa loliondo kaongeza mapato katika wilaya kwa kuongeza idadi ya magari yanayolipa ushuru

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by kituro, Apr 16, 2011.

 1. k

  kituro Senior Member

  #1
  Apr 16, 2011
  Joined: Dec 25, 2010
  Messages: 176
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  ama kweli kufa kufaana! idadi ya magari yanayopeleka wagonjwa samunge yamesababisha kuongezeka kwa kodi zilizowafanya wakusanya kodi hizo kushawishika kuzichakachua!

  gazeti moja jana lilieleza kuwa ushuru unaokusanywa kutoka kwenye magari yanayopeleka wagonjwa kwa babu unachakachuliwa na mafisadi wachache waliopo katika kata hiyo. unaweza kuona ufisadi ulivyokuwa unatoka mbali, hata katika ngazi za vijiji watu wanachakachua je ngazi ya familia bado?
   
Loading...