Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Haya yamejiri alfajiri ya leo hp mtaani kwangu yakwamba jamaa mmoja kuliwa na mbwa baada ya jamaa kulewa na kuingia anga la mbwa wa mzungu mmoja jrn yake,na mpk sikio moja la kulia kukatiwa chini...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Nimeona katika ITV mwanachuo alisema alihama ccm kutokana na ufisadi lakini kwa kujibu gamba ccm ameamua kurudi jamaa anatia Huruma maana wenzake walikuwa na kijani na njano. Yeye hata kakofia...
0 Reactions
22 Replies
3K Views
Mi nashangaa sana,viongozi wa juu wanasema mafisadi wajiondoe wenyewe.Nape,Mkama,CC wamesikika mara kadhaa wakiwataka mafisadi wajiondoe.Tunaomba wawataje kabisa kama walivyofanya...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Kumekuwa na tatizo kubwa sana la maji kusambaa hovyo barabarani na kwenye makazi ya watu punde mvua zinapo nyesha. je hili tatizo ufumbuzi wake ninini? Na mamlaka husika inafanya nini juu ya...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
"Nataka niwaonye kuwa wasianzishe vita vya mawe wakati wanaishi kwenye nyumba ya vioo, tulipoanzisha vita vya ufisadi hatutanii, sababu tunayo, nia tunayo na uwezo tunao,"alisisitiza Bw. Nnauye...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Habri wanaJf kwa ujumla? Nitakuwa Moro Kuanzia J5 na nafikiri ndio itakuwa sehemu ambayo ntalazimika kula Pasaka yangu huko. Naomba Company kwa wale wanaJF walio Morogoro town nasikia wenyewe...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
kuliombea taifa kila mtu anawajibu huo mimi huwa naliombea na sina kanuni kuwa leo nitasema nini mfano sasa nasema hivi `BABA YANGU WA MBINGUNI ULIENIUMBA MIMI NA WATANZANIA WENZANGU, NA UMETUUMBA...
2 Reactions
3 Replies
2K Views
Nimejaribu ku-search kama hii topic ishawahi zungumziwa sijaona, so 4give me if it had been discussed b4. Hii issue ya askari wa tigo kukamata magari ya barabarani ni sahihi kweli? i.e.: Mipaka...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Hivi karibuni tumesikia kauli za baadhi ya wanzibar kuwa ufisadi upo huku bara na sio visiwani.Kwanza, kama tunakumbuka vizuri sakata la mgogoro wa ardhi kati ya waumini wa kanisa la Anglikana na...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Ndg wana JF Kwa nini miaka yote, miji yetu ni michafu kiasi hiki? Kipindupindu....imagine! Leo asubuhi, Radio One wametangaza hali ya uchafu katika Jiji la Arusha nimeogopa. Dar, Moro, Tanga...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
From MARC NKWAME in Arusha, 17th April 2011 @ 19:30, :DAILY NEWS THE new headquarters for the East African Community currently under construction in Arusha is creating room to host both Southern...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Jamani naona sikuhizi Rais wetu anatia sana huruma katika hotuba zake, kama hana konfidens, yaani anakosa mashiko kama kiongozi! Naona huwa anaongea kama anakitu hakiko sawa, utadhani anahisi...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
KATIKA hali isiyokuwa ya kawaida, mbuzi mmoja wilayani hapa amezaa kiumbe cha ajabu chenye sura ya binadamu. Tukio hilo la aina yake lilitokea Jumamosi usiku katika Kijiji cha Isongole, wakati...
0 Reactions
14 Replies
3K Views
MCHUNGAJI Ambilikile Mwasapila anayetoa tiba ya magonjwa sugu katika Kijiji cha Samunge, Loliondo amewaomba wagonjwa na watu wengine wanaokwenda kupata huduma yake kuacha kumshangilia kila...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Sunday, 17 April 2011 20:32 (source mwananchi, usiulize kwa nini Sunday badala ya Jumapili) James Magai JAMHURI imegoma kujibu hoja za rufaa za muomba rufaa, Danford Anthorny katika kesi ya...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wakati nikiwa Tunduru nilipata simulizi mbalimbali kuhusiana na wilaya hiyo jinsi ilivyo tajiri wa ardhi yenye rutuba ya kutosha pamoja na maji mengi ya kutosha kulinganisha na wilaya nyingine...
0 Reactions
3 Replies
4K Views
Nimefuatilia bunge leo mwanzo hadi mwisho kwa mara ya kwanza. Baada ya kulazimisha kibabe kupitisha muswada wa serikali, mwishoni ndio anamvika kilemba cha ukoka Mh.Tundu Lissu. Katika zoezi la...
2 Reactions
20 Replies
3K Views
In 1971 and 1972 Iddi Amini conducted a nationalisation of the commercial assets of uganda's mostly ASIAN merchants and entepreneurs.This was followed by ASIAN exodus from Uganda to Tanzania...
0 Reactions
26 Replies
3K Views
At age 4 success is not peeing in your pants. At age 12 success is having friends. At age 16 success is having a drivers license. At age 20 success is having sex. At age 35 success is...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Je unaishi ughaibuni? je wahitaji kutizama ITV kwenye pc yako katika kiwango cha hali ya juu? kama jibu ni ndiyo basi usikose kutembelea hapa: MNYONGE MNYONGENI LAKINI HAKI YAKE MPENI!
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Back
Top Bottom