Mpui Lyazumbi JF-Expert Member Sep 1, 2010 1,856 371 Apr 16, 2011 #1 Wana jamvi naombeni msaada, ni namna naweza kuwapata itv, eatv na capital tv's. Nasikia wamebadilisha masafa yao katika satellite. Mnisaidie niwapate.
Wana jamvi naombeni msaada, ni namna naweza kuwapata itv, eatv na capital tv's. Nasikia wamebadilisha masafa yao katika satellite. Mnisaidie niwapate.
NewDawnTz JF-Expert Member Nov 15, 2010 1,667 362 Apr 16, 2011 #2 Mkuu wamebadilisha parameters Kwa ITV parameters zao mpya ni IS906@64 DEGREES SATELLITE FREQUENCY: 3643.7825 MHZ FEC: 2/3 SYMBOL RATE: 8.545MSps Au waweza wapigia +255 22 277 5914/6 au waandikie info@itv.co.tz
Mkuu wamebadilisha parameters Kwa ITV parameters zao mpya ni IS906@64 DEGREES SATELLITE FREQUENCY: 3643.7825 MHZ FEC: 2/3 SYMBOL RATE: 8.545MSps Au waweza wapigia +255 22 277 5914/6 au waandikie info@itv.co.tz