Uchawi noumer

Jean chill

Member
Apr 8, 2011
69
20
Amini usiamini, Nyani mmoja aliye kuwa akikwea ukuta wa mtu flani hapa kinondoni, kageuka kuwa mtu aliyejulikana kwa jina la Mzee Macho mkazi wa kwa makoma kinondoni. Kwa sasa yupo kituo kidogo cha police kinondoni.
 
Kuna watu 5 wamemuona pindi akiwa nyani hadi anageuka, sie tuliomwona asubuhi, tumekuta tayaria yuko katika hali ya kibinadamu ila alikuwa bado anatembea kama nyani, akishindwa kuongea, hadi alipoanza kutamka maneno yasiyoeleweka, baadae akaanza kutamka maneno yaliyoeleweka, akidai kuna mtu alimchukua ns bajaji akampeleka milimani sasa anashangaa yuko pale.
 
Jamani kama hayajamfikia mtu wako wa karibu hutaamini kama kuna uchawi hasa unapoenda kwa msomi. Lakini its a fact uchawi upo na unatesa sana watu. Na kuna wakati mtu anajiamini hadi anakuambia usoni I hold your future in my hands, nnweza fanya nitakavyo. Somo nililipata kwa yule mtu ni kuwa dawa ya mchawi si mganga wala mchawi zaidi yake, only God.
 
nimefuatilia sana Cloud Ni Redio Mbao ya Mitaani, huyu Mtu Macho shuhuda anasema alilewa sana , shuhuda huyu ambaye ni fundi viatu pale A.M karibu na Mk na Mango , alilewa kiasi cha kutojitambua lakini vijana wenye tabia mbaya wakamvua, huwa analewa sana na kupoteza fahamu, huyu jamaa huwa ni fundi wa makochi ya magari na kawaida. Simtetei lakini nakanusha huu uvumi, uvumi huu ni kama wa manyoya ya surrender
 
hehehe waswahili bana! badala ya kugeuka kikwete at least akaitwa rais, eti amegeuka nyani, sasa lengo la kugeuka nyani ni nini? au alitamani kuwa na tigo kubwa kama la nyani?
 
Back
Top Bottom