Afrika tuna sifa ya kuongozwa na wazee sana. Vile vile idadi ya viongozi wa Afrika ambao wamekuwapo madarakani kwa zaidi ya miaka 10 ni kubwa kidogo. Kama nchi nyingi zilivyoanza kuwa na term...
Sijui kama habari hizi ni kweli, lakini kama ni kweli Watanzania tuna hali mbaya.
Yasemekena kuwa kwenye kikao cha Mkutano Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) kilichochagua uongozi mpya...
Govt shelves new power tariffs hike?
-New rates did not take off on Jan. 1 as scheduled, as Mainland, Zanzibar officials still mulling over possible repercussions
THISDAY REPORTER
Dar es...
Naukumbuka msiba wa babu,wakati wa kula ulipowadia,
Sinia la ugali mkubwa, bakuli la mboga pembeni
Wanaume kumi wamelizungunguka,mtoto mimi peke yangu,
Bakuli la maji ya kunawa lawadia.Ile nataka...
Ref : Bernadetha Mushi, mama sarah, soma kwa makini, yolimo leo kuhusu pesa za watoto wangu unazo kata kuoa .
Mama sarah leo , tunaingia mwaka mpya , email hii haitakuwa ma maneno mengi, Soma...
For a while now i have been trying to understand this term 'fastest growing economy' from an african perspective..We all know South Africa is Africa's Economic powerhouse, we were once told...
Zitto: Sijatumia maneno ya kejeli
na Salehe Mohamed
Tanzania Daima
MBUNGE wa Kigoma Kaskazini, Kabwe Zitto (CHADEMA), amesema maneno yaliyomo kwenye barua aliyomwandikia Spika Samuel Sitta...
First Post of the Year
And for those who really dont care that much
You can listen the latest bongo falva click here
or the Oldies (Zilipendwa) click here
Bado mimi ni mgeni hapa JF na najaribu kutafuta njia za kupezi nk.
-Nilijikuta natuma thread mara ya kwanza badala ya ku reply kwenye post.
Hata hivyo nimeona jinsi gani forum hii inavyo pangua...
Siri nzito yafichuka
2007-11-19 08:23:47
Na George Ramadhan, PST Mwanza
Fedha nyingi za halmashauri zinazotengwa kwa ajili ya miradi mbalimbali ya maendeleo, zimedaiwa zimekuwa...
Kampuni binafsi za ulinzi nchini, zimekataa kulipa kima kipya cha mshahara wa Sh. 80,000 kwa wafanyakazi wake, licha ya serikali kuagiza viwango hivyo kulipwa na sekta binafsi kuanzia Januari...
Mimi nitakuwa London lakini sijui nijimwage wapi..of course sitaki kujichanganya na wabongo pale CHOONI (CLUB AFRIQUE) lakini naomba ushauri kuhusu clubs au sehemu nzuri za kujimwaga zenye mademu...
Kuhusu kupanda kwa bei ya umeme Zanzibar kwa asilimia 168, kutoka Sh 28 hadi Sh 75 kwa kilowati moja, Masebu alisema hiyo inatokana na wateja wa Zanzibar ambao ni Shirika la Umeme na Mafuta la...
jamani huyu bwana kule kwao wamemkataa kumpitisha kwenye NEC huku ofisini kila kukicha migogoro na anategemewa kugombea nafasi ya urais zanzibar. jee huku ndio mwisho wake umefika au kuna nn...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.