jamani kituo cha daladala cha sokoni morogoro tope limezidi mnataka tuombe mabuti ya luzuku!

kituro

Senior Member
Dec 25, 2010
176
15
ndugu uendapo kupanda daladala moro mjini kama unaelekea chamwino, SUA, mzinga na maeneo ya jirani na sehemu tajwa unakwenda kupanda daladala lazima ukutane na tope. huu msimu wa masika ni kero kwa watumiaji wa kituo hicho! ushuru pale kituoni (karibu na soko kuu la morogoro) unachukuliwa kila daladala itokapo na magari mengine sasa mbona hawatengenezi chanzo hicho cha mapato ya manispaa?.
 
Back
Top Bottom