Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Habari, Katika hali ya kawaida kabisa inafahamika Katibu mkuu ndio msimamizi na msemaji mkuu wa chama. Lakini kwa CUF ni tofauti sana hasa wanapotoa kazi hii kwa naibu au mwenyekiti. Mi siijui...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Nimekuwa nafuatilia ziara ya Mkuu wetu wa nchi katika wizara juzi nikamwona anamkatalia Waziri Nundu taarifa ya mkakati wa kuboresha TRL ambapo alimwambia kwamba hauelewi na haukubali kiasi cha...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari Nina kawaida ya kula nje,nimejitahidi kujibana Breakfast. 2000 Lunch. 3500 Dinner. 2000 Maji/drinks 2500 Jumla ni alfu kumi Sasa wadau naomba tupeana maujanja namna ya...
1 Reactions
54 Replies
6K Views
*Wahoji iweje JK, Pinda wamzuie kutekeleza sheria KATIKA hali inayoashiria ni ya kumtetea waziri wa ujenzi nchini, Dkt. John Magufuli baadhi ya wananchi wameeleza kusikitishwa na mashambulizi...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Habari zilizoandikwa katika gazeti la Mwananchi zinasema kwamba "barabara inayokwenda kwa babu Loliondo inazidi kuharibika na kusababisha mamia ya wagonjwa na jamaa zao kukwama porini. Zaidi ya...
0 Reactions
18 Replies
7K Views
Wana JF nina wazo la kuanzisha Restaurant itakayouza vyakula vya Kichaga tu kama mtori,kiumbo,kishimba,machalari na kadhalika. Je hii biashara italipa kwa miji ya Dar es Salaam na Arusha? Pia kama...
0 Reactions
11 Replies
4K Views
Kama ambavyo picha inajionesha... ni dhahiri kuwa viongozi wetu wanakosa sana umakini kwa kila jambo
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kila ninapomaizi kuhusu mstakabali wa Tanzania, naona ukungu wa kiza katika mambo mengi kama Watanzania wenyewe hawajaamka na kuchukua hatua za maksudi za kuinusuru hatma na mustakabali wa nchi...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Nduugu wapendwa kwanza na wapa pole wale walioathirika na hili jani leo hii naweza sema kwa bara mna afadhali..serikali ya zanzibar imeshindwa kabisa kukontrol swala la unga na kufanya vijana...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Habari katika video (The Loliondo Wonder Part 1 & 2) JESUS IS LORD
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Mara nyingi huwa napenda kusoma hoja za watu na comment zao, hapo mwanzo kulikuwa kuna matusi na kejeli mtu atakuambia hauna akili hujui unachosema lakini sasa nao hayo yote ni ya kale watu...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Prime Minister to grace TMF's forum on Monday MFUKO wa Vyombo vya Habari Tanzania (TMF) umeandaa kongamano kwa wadau wa habari nchini Jumatatu, Machi 28, 2011 litakalofanyika Ukumbi wa Mikutano...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Haishangazi kabisa sasa kuwaona Watanzania wenzetu wakinywa sumu kwa furaha! Kuna kisa kimoja kinafanana na hali za Watanzania wa leo: Mgonjwa mmoja alikuwa hoi taabani na akaona kwamba njia...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
According to this professor the answer is yes. YouTube - Race and IQ part 1
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Wakristo wa kabila la Kikwere Jimbo la Chalinze, Wiliaya ya Bagamoyo Mkoani Pwani wamezindua Biblia ilioandikwa kwa lugha yao ili jamii hiyo isome na kuelewa kirahisi maandiko ya Biblia...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wakristo wa kabila la Kikwere Jimbo la Chalinze, Wiliaya ya Bagamoyo Mkoani Pwani wamezindua Biblia ilioandikwa kwa lugha yao ili jamii hiyo isome na kuelewa kirahisi maandiko ya Biblia...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Hi wanaJF, hivi majuzi nilimsikia Waziri wa Mazingira akisema kuwa kuna Mpango unaoitwa MKUHUMI unaolenga kusaidia kupunguza uharibifu wa misitu katika kukabiliana na mabadiliko ya Tabia nchi...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Ndugu wana jamii,najua hapa inaweza kuwa sio mahali pake lakini naomba nitumie jukwaa hili kuleta kwenu habari ya kusikitisha sana na inayohitaji suluhisho la haraka sana kutoka serikali ya...
1 Reactions
22 Replies
3K Views
Jana kulikuwa na mjadala na kuwataka waislam kuacha kwenda liliondo. walisema hio ni dawa ya kiini macho. walisema kama kuna mtu amepowa kwa dawa hiyo ajitokeze waziwazi kabla ya kupoa akiuumwa...
0 Reactions
164 Replies
17K Views
Wakuu nilikuwa napitia pitia katika blogu mbalimbali nikabahatika kuangukia kwa inayoitwa blogu ya jamii ya Muhidini Issa Michuzi. Nimeshangazwa na habari picha nilizoziona zikionyesha mikutano ya...
0 Reactions
70 Replies
17K Views
Back
Top Bottom