Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Babu Loliondo abanwa SERIKALI imesema kuwa Mchungaji Ambilikile Mwasapila wa Kijiji cha Samunge pamoja na watu wengi waliojitokeza kudai wanatibu magonjwa sugu kwa kuoteshwa na Mungu...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Naomba kujua salary ranges zitolewazo na fao tanzania, kwa nafasi za programme officers na programme managers.asante
0 Reactions
6 Replies
4K Views
Nimepata taarifa za kuaminika kwamba kuna wahindi wengi wanaingizwa nchini kutoka India kutumika kama watumwa. Wahindi hawa wanarundikwa kwenye majengo (kama mazao yaliotoka shamba) kabla ya...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Tigo wanapiga sana kelele kuhusu huduma yao mpya ya data, msiingie mkenge hawa jamaa bado hawajajipanga, coverage ni ndogo sana, ukiwa maeneo karibu na city center hamna shida, lakini ukishatoka...
0 Reactions
26 Replies
3K Views
Chama cha Mapinduzi wilaya ya Tabora mjini wako katika maandalizi ya mkutano wa hadhara jirani na zilipo ofisi za ccm wilaya.Kuna tetesi kuwa mkutano huo lengo lake ni kujaribu kusafisha hali ya...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Nimesikitishwa sana na kisa hiki, ukizingatia marehemu kaacha mke na watoto wasio na msaada wowote. Soma hapa: MICHUZI: aliyechomwa moto kwa kuzamia disco afariki dunia RIP Marehemu.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kituo cha televisheni cha Sibuka kinachorusha matangazo yake kupitia Startimes kitakuwa kinarusha live mechi zilizobakia za Barclays Premiere League, UEFA na Bundasliga!! Habari hizo za uhakika...
0 Reactions
15 Replies
4K Views
Kwa taarifa yako nikwamba siku EL ameenda na Nelson Mandela kwa Mwaisapila a.k.a.(Babu)Babu maarufu hadi south!
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Wanawake wawili wamefariki dunia wakiwa katika nyumba mbili tofauti za kulala wageni jijini Dar es Salaam. katika tukio la kwanza maiti ya mwanamke mmoja anaekadiriwa kuwa na umri wa miaka 25...
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Mjadala wa wazi wa katiba wa TCD uliokuwa uanze leo saa nne asubuhi na kurushwa live na ITV ulikwama. Washiriki wa mjadala walipofika walikuta lundo la polisi waliokuwa na maagizo ya kukataza...
4 Reactions
16 Replies
2K Views
ninaomba matokeo ya pambano la kaseba na maugo
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Jamani tumezoea kusikia vituko vingi kuhusu Jeshi letu la polisi na namna wanavyo-make pesa kila wanapopata nafasi, sasa sikia hii, Jeshi na polisi walitangaza nafasi za kazi mwezi January, last...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Jana Makamu wetu Pius msekwa alituambia kuwa jamii forums inakipaka matope chama chetu. Baada ya kuulizia kwa wafanyakazi wenzangu,jamiiforums ni kitu gani,,nimefanikiwa kuelezwa na kujiunga...
5 Reactions
86 Replies
8K Views
Lisu anapambana na Hamza Kasongo juu ya Mswaada wa Sheria ya Katiba mpya
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Mwana JF tafakari hili:Itakuwaje BABU wa Loliondo atoweke gafla halafu aache ujumbe mfupi kuwa ,NDUGU WANANCHI NIMEAMUA KUKIMBIA MAANA NIMEGUNDUA HII DAWA NI SUMU NA HUUA BAADA YA MWAKA 1,wanangu...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
jamani nasikia chuo cha arusha technical college kimetoa tangazo watu wenye sifa watume maombi kwa ajili ya mafunzo ya lab technician under government sponsorship. Kama kuna mtu anaijua hii issue...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Mahakama nchini Misri imefikia hatua ya kukifuta chama cha aliyekuwa rais wa misri Hosni mubatak,mubaraka alikua kiongoz wa chama hicho ambacho kiliasisiwa na hayat Anwar Sadatt-bbc
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Mahakama ya Misri yakifuta chama cha Mubarak: http://bit.ly/dK2eE3
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Mapokezi ya wajumbe wa sekretarieti ya CCM yafanya muda huu Uwanja wa Bahresa Manzese, kama kawaida vikundi vya wasainii wakiongozwa na TOT wanaburudisha. Nape ni star wa mchezo anatoa burudani...
0 Reactions
24 Replies
3K Views
Back
Top Bottom