Wajumbe 2 tu humu jf ndio wenye michango ya ukweli na wanatikisa jf nzima

Pepombili

JF-Expert Member
Dec 20, 2010
439
58
Hawa member 2 wa JF ndio huwa nasoma michango yao humu ndani maana wankimbiza ile mbaya

1. Muhadhir
2. Majimshindo

BIG UP michango yenu ni yenye akili sana
 
Nisipoona michango yenu huwa najuwa hio mada haina maana na faida kwa jamii sasa sijawasoma kama wiki hivi vipi mumepigwa BAN maana walikuwa wanawatilia fitna sana
 
Haya ni matusi................Hakika wewe ni PepoMbili..........Ni hibrid ya mapepo mawili

Pepo la Kwanza ni Muhadhir na Pepo la Pili ni MajiMshindo........u merge them na ukatokea wewe

Bahati mbaya MajiMshindo kamaliza Mkataba aliopewa na ameshaaga rasmi kuondoka JF......iko siku nawe utaaga kama utakuwa shabiki tu bila hoja.............
 
pepo mbili kaaga kwa sababu ya fitna za wana JF ILA Muhadhir bado yupo lazima mukimbize upepo najuwa soon atatia maguu sasa hivi kazongwa kidogo
 
umewasahau akina muhogomchungu,kashaga,kishongo,geniusbrain na wewe mwenyewe
 
ninavyofahamu ... wajumbe ni wawakilishi wa makundi fulani fulani ... sishangai hao uliowataja kuwa wawakilishi wa wale waliovimbiwa na rasilimali za wananchi
 
Mushaanza kununa kwa vile sijawataja huo ni mtazamo binafsi wandugu musiumie roho zenu kuzeni vipaji ili nanyi mufikie hadhi yao
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom