Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Profesa Anna Tibaijuka, amewarejeshea wamiliki halali nyumba ya Wakfu wa Msikiti iliyoporwa na wajanja wachache kwa miaka 21 iliyopita, huku...
SAKATA la posho limemtia doa kubwa Spika wa Bunge, Anne Makinda, ambaye alipewa nishani na Ikulu kwenye mazingira ya kutatanisha wakati wa sherehe za miaka 50 ya uhuru, huku wabunge wengi wa Chama...
Kufanya kazi kwa juhudi na maarifa ni msingi wa maendeleo ya mtu,taasisi na jamii yoyote duniani. Bila kujenga utamaduni wa kujibidiisha,maendeleo kufikiwa ni ndoto za mchana! Watanzania wengi...
Takriban karibu kila uchao binadamu tunakutana na changamoto tofautitofauti, Kadhia, Matatizo, Karaha, Shida, Taabu, Mashaka, Mikwazano, Kero, Maudhi,Hasara na mengi mengineyo ya kufanana na hayo...
Hapa nashindwa kusema kwamba mimi kwa kua nipo Arusha na maandamano yanapotiokea
ya kudai haki sipendi ila napenda kudai haki ,pamaoja na kupinga udhalimu na siwezi kuwa
mnafiki nikakaa ndani...
Wakuu
Mimi naona kitu chakujivunia kuona mwaka tunakaribia kuumaliza!! lakini siyombaya kama sisi Member wa JF saccos! tukikutana mahali tukapeana heri ya kirismasi kwani najua wengi wetu...
TATIZO kubwa la uhaba wa umeme ndilo ambalo kwa kipindi kirefu limekuwa likiiumiza kichwa Serikali na kuathiri vibaya sekta ya uchumi na kudhoofisha sekta nyingine za kimaendeleo nchini.
Kwa...
Leo nimekumbuka sana zile enzi za madalada zenye majina maarufu ....wakati tukiwa madenti yaani ujanja ni kuwa 'staff' kwenye daladala maana yake haulipi nauli sababu makonda au dereva ni...
Hivi sasa na kwa muda mrefu hali ya watu ya kutofanya uchunguzi na uchambuzi wa masuala mbalimbali kwa umakini na kina cha kutosha vinazidi kushika kasi hapa nchini, hii ni kutokana na kile kuwa...
Kwa kujifurahisha wewe pamoja na wenzako unaweza kuanzisha kura ya maoni kwa ajili ya kupambanisha watu maarufu ili upate maarufu bora kuliko wengine, mfano; kura zilizopigwa katika blog ya...
YAKATAA SHERIA YA KUZUIA NDOA YA WAKE WENGI NA USHOGA
SERIKALI ya Tanzania imeyakataa rasmi mapendekezo manne yaliyotolewa na Baraza la Umoja wa Mataifa la Haki za Binadamu likiwamo lile...
Jaji welema leo alikuwa mgeni rasmi kwenye sherehe ya kuwaapisha mawakili wapya.baada ya mkuu wa tls kuongea,jaji werema amewahasa wawakili kusoma sana sheria,kuacha tamaa na kuleta changamoto...
Nimepita vituo vya mabasi nkashangaa baadhi ya magari ya kwenda moshi
yakiondoka na siti empty nikaanza kuhisi wachaga wameanza kuondoa ukomo wa kwenda
kuhesabiwa kule moshi ama lah??
Kizuri...
Kama Tanzania tunategemea kilimo kama uti wa mgongo wa uchumi wetu je ni sawa nikasema tunategemea "a paralysed backbone"'???? naombeni msaada wa importance of agricuture in tanzania's economy
Wakati Tanzania tunawabembeleza na kuwakumbatia wale wote wanaojishughulisha na uuzaji wa madawa ya kulevya,china watu hao hawadhubutu kuchezea nchi yao,kisa hiki kimemkuta mdada mmoja kutoka...
Wanajamvi hakuna mwenye taarifa za kuwepo kwa tifu leo Jijini? Nimepishana na kikosi cha FFU kikiwa na magari kadhaa ya washawasha hapa Mandera road karibu na Ubungo mataa wanachanja mbuga...
Nimo kwenye basi nasafiri, kuna sinema "Devil Kingdom" inaendelea na Msanii nguli na muandaaji wa filamu hiyo ni Steve Kanumba. Mwisho wa filamu Kanumba anawashukuru watu wengi kwa kusaidia...
leo nilitune KBC channel one mida ya asubuhi. Moja kati ya taarifa zao ilikuwa punguzo la bei ya mafuta (petrol, diesel na kerosene) karibu nchi nzima ya Kenya kuna punguzo la karibu Kshs 5...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.