Jaji welema leo alikuwa mgeni rasmi kwenye sherehe ya kuwaapisha mawakili wapya.baada ya mkuu wa tls kuongea,jaji werema amewahasa wawakili kusoma sana sheria,kuacha tamaa na kuleta changamoto. Nakumbuka wakt wa mswaada wa marekebisho ya mhundo wa mahakama<if am not mistaken> na jina la mswada.baada ya mapendekezo ya tundu lisu<waziri kivuli-sheria na katiba>. Jaji warema alizijibu kwa ujanja na kumshambulia lisu kuwa sheria hazijui.nakumbuka tundu lisu alimwambia werema kuwa' ninakuheshimu kama mwana sheria,lakini husomi sheria na tafiti mbali x2 zinazofanyika kuhusu sheria na mahakama.' alimwambi afundishwe kutumia internet ili a-google tafiti ambazo ziko waz kwenye mitandao.jaji werema alipoa kama maji mtungini baada ya hoja ya lisu. Je werema anaweza kuthubutu kuwaelekeza mawakili wapya? Source: tbc, *tv taarifa ya habari