Jamani nipo hapa dar lakin nashangaa mitandao yote ya cm imekata ghafla, labda wenye kujua kinachoendelea watujuze
Loh, yawezekana wanajaribisha ule mtambo wa kichina wa kukatia mawasiliano, au?
una line zote?
nina airtel, voda, zantel na sasatel.
Hata mie airtel vocha imegoma kuingia
mpaka muda huu NO NETWORK COVERAGE wanatukatili sana, kama ni majaribio si wangefanya usiku wa manane watu tukiwa tumelala? Hii nchi kila k2 kero tupu!
nina airtel, voda, zantel na sasatel.
Kuliko kuongozwa na ccm ni bora kuishi pangoni na nyoka