Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Ndg zanguni hebu tuliangalie hili kwa undani kwa anayejua na atujuze wenzake ambao haituingii hata kidogo. Chandalua kukaa miaka 5 bila ya kuwekwa dawa yeyote inakuja jamani? Mi inanitia shaka sana!
0 Reactions
51 Replies
9K Views
By DAILY NEWS Reporter, 16th December 2011 @ 12:06, Total Comments: 0, Hits: 341 The Managing Editor for Free Media Ltd, Mr Absalom Kibanda was on Friday interrogated by the police for three...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Nasikia hizi pilipili kali kuliko pilipili kichaa!
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Assalam alaykum warahmatullahi wabarakatu -ewe mpenda kheir napenda kuchukuwa fursa hii adhwim kukuomba ujeufanye biashara na Allah(.s.w.t) siku ya tarehe 18.12.2011 kutakuwa na mchango wa...
4 Reactions
89 Replies
11K Views
During this week the world will experience a very big natural calamity ( or more) due to different planetary aspects. For bible users ready Isaya 24 yote. lakini aliitiaye jina la Yahu ndiye...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
wadau leo nimekubali Jf nizaidi ya chuo kikuu baada ya kusoma habari ilianza na kichwa UFISADI BILA MAJIBU... na michango ya wadau hakika kuna haja ya kuanzisha gazeti la Jf ili watanzania wengi...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Gharama za maisha zimepanda sana kwa wabunge mji wa dodoma umekuwa mji wa garama sana katika ukanda wa africa,je katika wafanyakaz wa serikali,gharama za maisha zimepanda kwao tu wabunge?
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Mstahiki meya wa manispaa ya Ilala Mh. Jerry Slaa amefiwa na bibi yake leo. Mipango ya mazishi inafanyika nyumbani kwa kaka yake maeneo ya Makongo. Source: Jahazi la Clouds FM
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Hakuna Serikali inayoweza kuendelea bila kukusanya Kodi. Hata Mafanikio tunayoyazungumzia ya Mzee Ben, ni ukusanyaji na usimamizi mzuri wa Kodi. Kipindi hicho tulishaanza kuzoea utamaduni mzuri wa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
wadau ukifuatilia kwa makini mjadala wa posho ni zengwe la kuwapumbaaza wananchi walalahoi na kuwafanya wasahau mambo mazito yalikwisha tokea na viongozi wao.Yapo mengi tu na hatujui hatma yake...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Wadau hivi mnakumbuka ule mdahalo wa hamad na kafulila vs mbowe walivyo mtuhumu mboe na chadema kwa mambo ya ajabu?watu hawa wawili ni wa rohoo wa madaraka sana hamad baada ya kukosa ukuu wa kambi...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Hayawihayawi sasa yamekuwa! Tido muhando rasmi aula Al Jazeera Swahili sambamba na Joseph Warungo! Uwepo wako huko ndugu tido utasaidia kuanika maovu ya serikali ya tanzania chini ya utawala...
3 Reactions
66 Replies
6K Views
hv kwa nini viongozi wetu wanapenda kuomba misaada kwa ajili ya mambo ya maendeleo na vitu vya msingi lakini vitu visivyo na tija wanavimudu kuvifanya.......,? hv kweli sisi baada ya kufanya...
0 Reactions
0 Replies
868 Views
Sasa hivi umeibuka mtindo wa viongozi waliopewa dhamana kutumia ovyo magari ya umma baada ya saa za kazi hata wanadiriki kujiendesha wenyewe wakati taratibu haziruhusu
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Jana nilimsikia Julius mtatiro akisema kua hawawezi kumwachia Hamad Rashid kuleta vurugu ndani ya chama chao cuf! Na hivyo wanaJindaa kumwadhibu. Jamani cuf na nyie mnataka kuvuana magamba...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Umkhonto we Sizwe (MK) “Spear of the Nation”, leo 16/12/2011 jeshi hili la wapigania uhuru wa Afrika Kusini limetimiza miaka 50 tangu liundwe. Kale ka-slogani ka “Tumethubutu, Tumeweza na...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Wana JF, leo ni siku ya mwisho kwa watumishi wa serikali na taasisi zake kurudisha fomu za kuomba vitambulisho vya uraia, leo maofisa wengi wa serikali wako katika misururu mirefu ya kurudisha...
0 Reactions
21 Replies
3K Views
jaman kuna vijana wanafanya kaz ya kuondoa daladala zinazopakia kwenye corner sasa sijui wameajiliwa na nani yan full makelele matusi wao kwa wale wanaojuana wanapakia njian huu naweza sema ni...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nimefanya utafiti mdogo tu nikagundua ya kwamba Supermarket zote kubwa hapa tanzania wanauza bidhaa ambazo hazizalishwi kwenye nchi ambazo hao wawekezaji wametoka,mfano shoprite ambayo inaaminika...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Jana usiku muda wa saa 2:45 nikiwa narejea nyumbani maeneo ya Chini ya Mti karibu na lile kanisa la Nabii wa kiNigeria nilikumbana na msururu wa maandamano makubwa ya vijana wa kiArusha...
0 Reactions
12 Replies
3K Views
Back
Top Bottom