Kwa takribani mwezi na ushee sasa katuni zinazochorwa kwenye gazeti la Mwananchi na cartoonist maarufu nchini Masoud Ally 'Kipanya' ziko gizani kuungana na sisi wananchi kuomboleza mgao wa umeme...
Tupo ktk mkutano wa wakuu wa shule za sekondari Tanzania, Arusha. Umeme umekatika, waziri mkuchika amesimama dakika 10 jukwaani akisubiri umeme. Wamewasha generata sasa anaendelea. Amesema "umeme...
Jana nilitoa kero zangu dhidi ya TBC1 na leo wanaotazama taarifa ya habari ya saa 2.00 usiku mmejionea wenyewe. Taarifa inasomwa badala ya kuletewa picha inayohusiana na tukio, linakuja...
Wanawake wawili wakaz wa wilaya ya Tarime wamekamatwa na kufikishwa mahakaman kwa kosa la kulima na kumiliki EKARI 4 za zao haramu la bangi,wanawake hao ni Maria Magaigwa(45) na Maximillian...
Babu wa Loliondo kisa cha kupungua watu kliniki
Imeandikwa na Stella Nyemenohi; Tarehe: 13th December 2011 @ 14:10 Imesomwa na watu: 301; Jumla ya maoni: 0...
Jamani nafikiria kwenda moja ya sehemu hizi Qurus, Gunyoda, Yaeda Chini, Kambi ya Nyoka, Geku Mlambo, Tlawi, Gehandu,Daudi, Sumae, Njia Panda, Oldeani, Bashay, Mama Isara, Endagikot,
Preta, Binti...
Top 10 Richest Countries in the World per Capita! Ever wondered what the Top 10 Richest Countries are? Well, here you have come to the right place! Top 10 Richest Countries in the World per Capita...
Mh,Waziri mkuu kwa hili umenikatisha tamaa na leo sitaenda kazini baada ya wewe jana kusema Maendeleo ya viwanda yatakuja baada ya miaka 50!!!!!!??????
Kwa maana serikali yako hivyo ndivyo...
Taarifa zinazozidi kukoroga vichwa vya wabunge na wananchi za wabunge kuongezewa mshiko ni ushahidi kuwa hatuna wabunge bali wasasi ngawira. Tumeambiwa kuwa mapato ya mbunge kwa mwezi ni sawa na...
Ndugu wa JF naomba kuuliza je tangu lini bodi ya mikopokwa wanafunzi wa elimu ya juu yaan (HESLB) wameanza udikteta? Maana nimepokea barua inayoamrisha kuwa kuanzia mwezi December naanza kukatwa...
Kwa nchi kama Marekani,uingereza,German nk mambo hayo hayapo. Na kama yapo ni kwa uchache sana. Waziri mmoja kutumika kwenye serekali zaidi ya moja? Mfano bi Madeline Albright, waziri wa mambo ya...
Leo asubuhi maeneo ya mbezi karibu na shule ya HOPAC nimeona gari moja ikiwa imeteketea kwa moto...nilipouliza kulikoni nikaambiwa gari ile imechomwa moto na waendesha bodaboda baada ya gari hilo...
Ni dalili nyingine ya serikali kufilisika kifedha kwani kwa taarifa nilizopata toka kwa rafiki zangu ambao ni mapolisi wa nyota moja.Tangu walipopandishwa cheo toka mwezi wa 10 hadi leo...
wanajamvi napenda kujua unatumia 'mafuta ya kula' ya aina gani?mimi natumia mafuta ya alizeti yanayotengenezwa tanzania.nikitumia mengine watot wanawashwa mwili.
Mnakumbuka hili neno?
"wao wanasema watafanya nini, na mimi ninasema nimefanya nini katika miaka mitano iliyo pita, nime jenga shule ya benjamini mkapa secondary school,nimejenga uwanja mpya wa...
Ndg wanaJF,salam! Hivi ni kwanini inakuwaje baraza la mawaziri, kwa mfano marekani,tuanzie na Clinton,alikuwa na baraza lake la mawaziri kina bi Madeline Albright na wenzie. Alipokuja Bush...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.