Wachaga amwendi kwenu kuhesabiwa mwaka huu!!!nauli ni ile ile msiogope

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,722
21,775
Nimepita vituo vya mabasi nkashangaa baadhi ya magari ya kwenda moshi
yakiondoka na siti empty nikaanza kuhisi wachaga wameanza kuondoa ukomo wa kwenda
kuhesabiwa kule moshi ama lah??

Kizuri nilichokiona na kukifurahia watanzania tumeanza kuondoa ujinga wa kwenda kununua tkt kwa wahuni wa barabarani wakiwa na vitabu hii imeniwiwa niwape bigup shemeji zanguni ingawa nimeanza maisha ya ubachelor leo baada ya kusafirisha vizazi vyangu.....naamini wako njiani kufika kiraracha

shukran za pekee ziwandee dar ex press waliokomaa na nauli zao kama kawaida na wengine wote ambao wameona ni heri wachaga wasio nauwezo nao wapate muda wa kuhesabiwa

baada ya yote nawatakia heri na fanaka shemeji zanguni wote na familia zenu mungu akipenda ntakuja uko kabla ya mwaka mpya natumaini mtaniweka kwenye list na hata nikishaulika basi msinisahau kwenye kale kaglaa cha kitochi jamani
 
dar express wamepandisha nauli kutoka 25000 hadi 28000 kama hujui. labda zile basi wanazoita luxury ndo bado zinadai 30000
 
Kweli bwana, shemeji zangu wachaga hamjaenda tu? Maana nashangaa folen ya kwenda town asubuh ipo pale pale. Wahin bwana tupate ahuen ya folen dar
 
dar express wamepandisha nauli kutoka 25000 hadi 28000 kama hujui. Labda zile basi wanazoita luxury ndo bado zinadai 30000
we bado unapanda za kawaida aisee yaani sh 2000 zinakufanya uteseke na joto aisee mleu
nkiki ??
 
Yaani nakumbuka mpwa mwaka jana kuanzia dec akuna folen kabisa ukiuliza wachaga wamekwenda kwao na bahati nzuri wanaondokaga mpaka na housegirl wasiwaibie so unakuta hata madalala huu msimu imekula kwao sasa hivi loh
folen mtinfo mmoja kupita moroco mpaka upige kwa afande ishomire aisee niko victoria ushafika ndio unaona anaruhusu magaro loh
 
Nimepita vituo vya mabasi nkashangaa baadhi ya magari ya kwenda moshi
yakiondoka na siti empty nikaanza kuhisi wachaga wameanza kuondoa ukomo wa kwenda
kuhesabiwa kule moshi ama lah??

Kizuri nilichokiona na kukifurahia watanzania tumeanza kuondoa ujinga wa kwenda kununua tkt kwa wahuni wa barabarani wakiwa na vitabu hii imeniwiwa niwape bigup shemeji zanguni ingawa nimeanza maisha ya ubachelor leo baada ya kusafirisha vizazi vyangu.....naamini wako njiani kufika kiraracha

shukran za pekee ziwandee dar ex press waliokomaa na nauli zao kama kawaida na wengine wote ambao wameona ni heri wachaga wasio nauwezo nao wapate muda wa kuhesabiwa

baada ya yote nawatakia heri na fanaka shemeji zanguni wote na familia zenu mungu akipenda ntakuja uko kabla ya mwaka mpya natumaini mtaniweka kwenye list na hata nikishaulika basi msinisahau kwenye kale kaglaa cha kitochi jamani

Mkuu Mabasi gani hayo yanayokwenda Moshi yakiwa tupu? Mimi jana nimekosa Basi la kwenda Moshi ikabidi nichague Precision air sasa hayo Mabasi unayosema yanaondoka tupu sijui ni yapi labda CHAKITO
 
Wachaga hawaendi kuhesabiwa bali wanaenda kuonyesha walichovuna kwa mwaka mzima. Pia kuangalia zao jipya lililomaliza shule ili aje huku kuanza kufanya biashara. wachaga bana,,,,,,,,,
 
2naenda na private car,kama unataka kuona njoo njia panda ya chalinze uone gari ndogo znavyopta
 
Siku hizi ni aibu kwenda kwao kwa basi. Khaa, unaenda kuzitafuta miaka yote unarudi kwa basi? "Aisee, yesu wangu, sendi, hata kale katoto ka pale kiboroloni kana Prado, aisee, hata yule maria mtoto wa msee mosha ana gari"
 
watu wanapanda moshi na 4x4 zao siku hizi,
nani anataka shida bana!!
 
Siku hizi ni aibu kwenda kwao kwa basi. Khaa, unaenda kuzitafuta miaka yote unarudi kwa basi? "Aisee, yesu wangu, sendi, hata kale katoto ka pale kiboroloni kana Prado, aisee, hata yule maria mtoto wa msee mosha ana gari"

walivyo wengi hapa mjini hawa jamaa wakiondoka holiday season kama sasa, mji unabaki mtupu kabisa. Yani wakina Jongo na marijani hawapati shida ya foleni, wakipanda DCM wanafika waendako fasta tu.
 
Wadau nikama munachukia wachaga kurudi makwao kila mwisho wa mwaka kuungana na ndugu jamaa na marafiki?siyo vizuri jamani ni utaratibu wao na isitoshe vijana wote walio feli au kukosa nafasi za kuendelea na sekondari watawachukua na kuja kwaajiri kwenye miradi yao so wanapunguza vibaka na ujambazi nchini
 
Back
Top Bottom