Njia sahihi za kudai haki ni zipi wana JF?

harakat

JF-Expert Member
Jul 4, 2011
2,889
1,346
Hapa nashindwa kusema kwamba mimi kwa kua nipo Arusha na maandamano yanapotiokea
ya kudai haki sipendi ila napenda kudai haki ,pamaoja na kupinga udhalimu na siwezi kuwa
mnafiki nikakaa ndani wakati watu wengine wanaandamana kudai haki na kuelezea mitizamo
hasa ya maisha kua magumu na vitu vingine kama hivyo.
Maandamano imekua ndio wimbo wa taifa sasa kila kukicha ila kama kuna njia mbadala
tujuzane ili tuwe tunazitumia hizo badala ya maandamano na migomo.


nawasilisha...
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom