Rais Jakaya Kikwete, akiteta jambo na Rais Yoweri Museveni wa Uganda huku Katibu Mtendaji wa Kamati ya Kimataifa ya Nchi za Maziwa Makuu (ICGLR) anayemaliza muda wake, Balozi Liberata Mulamula...
Naomba kuwauliza wana usalama wa Ikulu,na washauri wa ikulu je mnajali usalama wa wageni na viongozi mashuhuri?Je usalama mnaozingatia ni wa kulinda mageti na kukagua kila mmoja aingiapo?Je mlisha...
Hii ishu nliickia kupitia bbc swhl then nikaiona aljazeera na cnn!Ilitokea pande za kenya baada ya simba jke kuonekana na mtoto wa swala bila kumtafuna huku akiwafukuza simba wengine...
Inatia hofu kweli kwa habari zilizotolewa na vyombo vya habari juma hili toka ktk taasisi ya elimu ya chini na elimu ya juu hapa Tz.
1. Elimu ya chini; Kuna vituo vilivyofungiwa kufanya mitihani...
Leo nimeshuhudia kitu ambacho kwa miaka mingi nilikuwa nasimuliwa tu. Mbunge wa jimbo la Tunduru kusini-Eng. Ramo Makani(CCM) ambaye alikuwa "mwenyekiti kamati ya Jairo" anafanya mkutano wake...
KWA WENYE NIA YA
KUCHANGIA TV IMAAN KUPITIA
MABENKI....................... TV IMAAN BANK ACCOUNTS: AMANA BANK LTD ACCOUNT
NUMBER : 001110001660001
TSHILLINGS.
KCB (T) LTD BANK ACCOUNT
NUMBER...
Leo nimeona kwenye habari wenzetu wenye ulemavu wa ngozi wakitangaza mkakati wa kuzunguka nchi nzima kupambana na imani hiyo potofu. Lakini nikakumbuka hapo nyuma watu walishapiga kura ya maoni...
ILI kuonesha kwamba lazima zile nchi za Afrika zinazogoma kukubali kutambua ushoga kisheria zinatii amri hiyo, nchi ya Marekani na washirikika wake zimeamua kutumia kila njia kuhakikisha...
Wiki hii haikuwa njama kwa wapinzani na wafuasi wa vyama vya upinzani ambao wanataka magezui nchini Tanzania kwani walisikia habari za malumbano makubwa ndani ya Chama cha Wananchi CUF, huku Hamad...
Ama kweli ukistaajabu ya Musa....kwa mara ya kwanza nilistuka na kujiuliza sana baada ya kuona msafara wa ais JK ukiambatana ambulance....majuzi nikiwa Kampala kwenye ICGLR nilishangaa zaidi baada...
nawatakia jumapili njema na safari njema kwa wote wanaoanza kuondoka kesho kuelekea Moshi na kwingineko kuweza pata sensa kamili ya wangapi walioko dar tuweze kuwaita siku za Harambee za vijiji...
Rais wa Zanzibar, Dk. Ali Mohammed Shein
Rais wa Zanzibar, Dk. Ali Mohammed Shein, amesema serikali inapenda kuona sheria inachukua mkondo kwa kushughulikia uhalifu wa...
Soma habarileo /mwananchi
magari na mitambo kadhaa itumiayo petrol iko hatarini kuharibika pale taarifa za kuingizwa kwa tani zaidi ya 30,000 za mafuta machafu
habari zenye uhakika zinasema...
Kongamano kwa wakaazi wa
Dar es Salaam na walio
karibu,kutakuwa na
kongamano la kuchangia TVI
jumapili tarehe 18/12/2011
UWANJA WA TAIFA,saa mbili asubuh mpaka 12 jion ni bure
waumin na...
Wanafunzi 3,500 waliofaulu mtihani wa taifa wa darasa la saba, mwaka huu, Wilaya ya Bunda, mkoani Mara, hawajachaguliwa kujiunga na kidato cha kwanza mwakani katika sekondari za serikali...
Mbeya===ndio wanaishi kwa furaha zaidi kuliko mikoa yote,sababu kubwa ni ile ya kuamini lazima kila mtu atakuwa tajiri siku moja Kilimanjaro==ndio wanaishi kwa strees zaidi kwa kuwa maisha ndani...
Stress... Mfukon sina mkwanja! Wananiambia nijiajiri,wananiambia mimi sio mbunifu,lakini cha kushangaza wao wameajiriwa,na wapo tayari hata kulisha watu vinyonga ngozi zibanduke ili waendelee...
I recently surfed to mobile website with webform enabling users to upload pictures from mobile devices/phones. I was wondering if JF can implement such a scheme to enable JF members upload...
Ni basi linalotoka kahama kuelekea mwanza mtu huyo ambae nimekaa nae siti moja amefariki dunia gafla kabla hatujafika shinyanga.
Kwa maelezo ya ndg yake ambae tunae siti hii hii ya watu watatu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.