FFU hawa wanatoka au wanakwenda wapi muda huu?

Jumakidogo

R I P
Jul 16, 2009
1,851
417
Wanajamvi hakuna mwenye taarifa za kuwepo kwa tifu leo Jijini? Nimepishana na kikosi cha FFU kikiwa na magari kadhaa ya washawasha hapa Mandera road karibu na Ubungo mataa wanachanja mbuga kuelekea maeneo ya Tabata. Sijajua kuna nini huko watokako au waendako.
 
Ungewasimamisha uwaulize. Endelea na taimu zako, hayo hayakuhusu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom