my god endeleeni kutujuzasource ni mim mwenyewe niko kwenye basi naelekea dar, gari limebinuka matairi yako juu, na watu bado wako kwenye gari hawajatolewa.
poleni sana wahanga wa tukio hilo, na mimi ndo kwanza nilikuwa nawaza hapa kumchukulia mdogo wangu tiketi katika bus hilo duuuuh..!! aiseeee sasa itabidi nimchukulie tiketi katika bus la champion kutokea hapa mwanza kuelekea dar...!

Eti Champion, mkuu unaruka majivu unakanyaga moto!
Haya magari ya sumry mbona yanapata sana ajali siku hizi? Mwaka huu kuna Sumry nyingine kutoka Arusha kwenda Mby pia lilipata ajali na kuua abiria kadhaa.