Kenya yapunuza mafuta kwa shilingi Tano, vipi kwetu TZ | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kenya yapunuza mafuta kwa shilingi Tano, vipi kwetu TZ

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by issenye, Dec 15, 2011.

 1. i

  issenye JF-Expert Member

  #1
  Dec 15, 2011
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 1,151
  Likes Received: 992
  Trophy Points: 280
  leo nilitune KBC channel one mida ya asubuhi. Moja kati ya taarifa zao ilikuwa punguzo la bei ya mafuta (petrol, diesel na kerosene) karibu nchi nzima ya Kenya kuna punguzo la karibu Kshs 5 ambayo ni karibu tshs 70. Je ina maana wenzetu wananunua mafuta sehemu tofauti na tunaponunua Tanzania?
   
 2. n

  ngwendu JF-Expert Member

  #2
  Dec 15, 2011
  Joined: Jun 7, 2010
  Messages: 1,967
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  ungeeleza kwanza bei yao ya awali ilikuwa sh. ngapi na wanapunguza kwenda sh ngapi. si ajabu wao lita moja wanauza bei ya juu kuliko yetu na sasa wanataka wasawazishe. Njoo na data kamili please na acha kukurupuka.
   
Loading...