Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Mzazi wa kiume yaani Baba, umli umeenda na amestaafu kazi huu wapata mwaka wa pili. Watoto wake ni mmoja tu kati ya watatu ndo kahitimu na Mungu kajalia ana Ajira. Wamebakia wawili, mmoja kidato...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Kwa kweli mi sioni umuhimu wa hivi vipindi labda wakuu mnifumbue.....!
0 Reactions
16 Replies
5K Views
Huu mtindo wenu wa washa zima tumeuchoka hasa huku Kijitonya,Mnawasha dakika kumi mnazima masaa nane,Mkiwasha tena mnazima,Tumechoka na washa zima yenu mtatuunguzia vitu vyetu,Yakitokea mashindano...
0 Reactions
0 Replies
948 Views
Hii sera ya kuuza nyumba za NHC kwa wapangaji wake WA MUDA MREFU, kwa mtazamo wangu haina mantiki kabisa wala faida kwa Watanzania. Wapangaji wengi wa NHC nyumba wanazokaa wamezipata kwa rushwa...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Hadi leo ukiniuliza vitambulisho vya Taifa ni vya nini? jibu ni sijui, sbb Passport ndio kitambulisho worldwide kinajulikana, nasisitiza huwezi kwenda nje ya nchi ukasema nina kitambulisho cha...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Matatizo yaliyojitokeza katika chama cha NCCR mageuzi mpaka kusababisha mh David Kafulila kuvuliwa uanachama, uenda yakamkumba mh Hamad Rashid ndani ya CUF kama ataendelea kukiuka taratibu na...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Naomba kuleta hoja hii mbele yenu tuijadili hoja kama hoja na sikumjadili Lowassa au nafasi aliyokuwa nayo kama waziri mkuu. Kuna vitu twaweza kubeza na kunavitu nilazima vifanyiwe kazi kwa faida...
0 Reactions
0 Replies
716 Views
Gazeti la Citizen leo hii limebeba habari muhimu kwa wale wanaotaka kustrahe katika sehemu mbalimbali hapa nchini siku ya krismasi. KuhuZunisha ni kwamba gharama za mahoteli zimeongezwa marudufu...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
  • Closed
Watu walikuwa wengi sana na mamilioni yalikusanywa! Lakini vyombo vya habari havikuipa kipaumbele je,hiyo si habari? Mbona harambee za makanisa zinapamba vyombo vya habari? Kunanini hapa?
0 Reactions
24 Replies
4K Views
Kuna jamaa nafikiri wako Marekani kama sijakosea!Mara kwa mara wananitumia matangazo yao kupitia e-mail address yangu kama ujumbe wao unavyojieleza hapa chini. Hii huduma wanayotoa,binafsi...
0 Reactions
27 Replies
4K Views
Nipo kwenye shabby bus kuelikea dom.bus linapokaria mizani,wahusika wa bus wana waomba watu waliokaa nyuma kuhamia mbele. Hapo si tunaharibu wenyewe barara zetu? Kama ni wewe ungeshirikiana na...
0 Reactions
22 Replies
3K Views
  • Closed
TCRA inaendeleza hujuma dhidi ya waislam nchini,kwani kumekuwa na tabia ya kuvibana vyombo vya habari vya kiislam nchini Tanzania.Mara nyingi imekuwa ni ngumu kupata kibali cha kuanzisha...
0 Reactions
47 Replies
5K Views
hakuna kubisha vyama vyetu vyote vya siasa tanzania vimejaa longolongo tupu, masilai binafsi ya viongozi wa vyama hivyo na UOGA KWA WANACHAMA...na ndo mana hatuendelei leo hii akitokea mwanachama...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Leo nimechukua rasmi kadi ya CHADEMA navutia kasi 2015 nichukue kata kwa ticket ya cdm kwa maslahi ya wananchi.
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Nipo ndani ya basi natoka mbeya naingia makambako standi nakaribishwa na madimbwi! Hivi jamani hivi si vitega uchumi vinavyoingiza fedha kila iitwapo leo? Je viongozi hamuoni kama kuna umuhimu wa...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Ingawa kuvuliwa uanachama kwa mbunge wa zamani wa Kigoma Kusini NCCR-Mageuzi, David Kafulila si haki, kulitarajiwa kutokana na tabia ya mhusika. Kafulila alipoingia kwenye siasa za upinzani...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
WAISLAMU nchini wametakiwa kujitokeza na kuunga mkono uchangiaji wa shughuli mbalimbali za maendeleo hususan elimu, ili kujikwamua na lindi la umaskini. Wito huo ulitolewa juzi na Mbunge wa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
mimi najiuliza ila sipati majibu inakuwaje kila mbunge anayeulizwa kuhusu swala kupanda kwa posho zao hawajibu straight wanabakia kukwepa tu mfano Hamadi Rashid anaulizwa kuhusu msimamo wake...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Mara nyingi vyombo mbalimbali vya habari vimekuwa vikitegemea kupata habari kutoka hapa JF na kwa lugha nyingine wamekuwa wakifanya biashara ya kuuza habari ambayo tunazileta hapa bila idhini ya...
5 Reactions
31 Replies
4K Views
Inasikitisha pale rais wetu mpenda jk anapozdi kuwakumbatia na kuwapa nyazifa viongoz waliomwagwa na kukataliwa na wana nch katika mchakato wa uchaguz 2010. Mfano Kamala aliyekua mbungd wa...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Back
Top Bottom