TCRA Inawahujumu Waislam

Status
Not open for further replies.

Bornvilla

JF-Expert Member
Feb 17, 2011
924
195
TCRA inaendeleza hujuma
dhidi ya waislam
nchini,kwani kumekuwa na
tabia ya kuvibana vyombo vya
habari vya kiislam nchini
Tanzania.Mara nyingi imekuwa ni ngumu kupata
kibali cha kuanzisha chombo
cha habari cha kiislam.
Safari hii imekuwa kwa
radio ya IQRA 100.0 FM ya jijini Mwanza ambayo bado ni
mpya.TCRA wameamrisha
redio hiyo iliyopo katika jengo
la CCM kuhama kitu ambacho
kimetufanya wadau kujiuliza
maswali mengi ya kwanini radio Iqra ihame jengo la CCM?
Wakati huo huo radio clouds
wapo hapo hata kabla ya Iqra
fm,pia kuna radio passion
fm.Swali ni kuwa radio zote
hizi mbili zimekuwepo kwenye jengo hilo la CCM kwa
muda mrefu,lakini radio IQRA
ambayo hata mwaka
haijafikisha imeamuliwa
kuondoka kwenye jengo hilo
kuna nini? Ndani ya wakati huu radio
inasaka mahali pa kuhamia
japo haikushindwa kulipa kodi
ya pango,na hata kama radio
ikishindwa kulipa pango TCRA
wanahusikaje? Hizi ni fitna! Tumshukuru ALLAH kwa kuwa
radio imepata kiwanja
katikati ya jiji na mpango
uliopo ni kujenga jengo
kwaajili ya shughuli zoteza
radio.Ewe ndugu Muislam ili kuepuka adha hizi unaombwa
kwa hali na mali kutoa
mchango wako
fedha,nondo,mabati,cement na
vifaa vinginevyo vya
ujenzi.Changia kwa M-Pesa 0753-885263 Kama upo Mwanza unaweza
kupeleka mchango wako pale
studio jengo la CCM. Haya
shime Waislam huu ndio
wakati wa kuamka,tusizilalie
mali zetu.tujitahidi ili tujikomboe ili tusinyayasike.
 
myhem

JF-Expert Member
Nov 1, 2010
933
500
ina maana hao TCRA hawajatoa sababu za kuwaamrisha mhame hapo mjengoni? leta hizo sababu walizowapa ili tuone kama kweli mmeonewa au ndo kulalama kila siku kuwa mnaonewa? btw wishing you all the best ktk ujenzi wenu wa kituo kipya cha radio!
 
Bajabiri

JF-Expert Member
Jan 1, 2011
9,736
0
Nadha tunapaswa kuweka mkazo zaid kwenye elim
Hali ya shule zetu za kiislam ni MTIHANI,nafanyia kaz humu najua shule zetu duh
ina maana hao TCRA hawajatoa sababu za kuwaamrisha mhame hapo mjengoni? leta hizo sababu walizowapa ili tuone kama kweli mmeonewa au ndo kulalama kila siku kuwa mnaonewa? btw wishing you all the best ktk ujenzi wenu wa kituo kipya cha radio!
 
buswe

Member
Oct 28, 2011
82
70
Lawama zoote! kumbe unaomba mchango. Nakushauri fuatilia kama kweli ni TCRA wameihamisha kwenye jengo hiyo redio. pia fuatilia kwa nini wamefanya hivyo maana inaonyesha na wewe hujui sababu. Jitahidi siku zote kufanya utafiti kabla ya kulalamika. Mara nyingi malalamiko yasiyo na hoja hayasikilizwi.
 
Ibrah

JF-Expert Member
Mar 22, 2007
2,730
2,000
Hivi TCRA ndo wanamiliki jengo la CCM ambamo Iqra wamo? Wao wana amri gani juu ya wapangaji wa CCM? Mimi nlidhani wamewafungia masafa!
Mleta mada kuna jambo unaficha, kuwa wazi.
 
ndyoko

JF-Expert Member
Nov 2, 2010
4,975
1,500
Ewe ndugu Muislam ili kuepuka adha hizi unaombwa
kwa hali na mali kutoa
mchango wako
fedha,nondo,mabati,cement na
vifaa vinginevyo vya
ujenzi.Changia kwa M-Pesa 0753-885263 Kama upo Mwanza unaweza
kupeleka mchango wako pale
studio jengo la CCM. Haya
shime Waislam huu ndio
wakati wa kuamka,tusizilalie
mali zetu.tujitahidi ili tujikomboe ili tusinyayasike.

Mkuu hiyo stori ni kweli au lengo lilikuwa ni kuomba hela za kiwanja? Hebu tuweke sawa! Nimeipenda style yako ya kuchangisha hela za ujenzi wa kitu cha hiyo redio yako ya kidini!
 
Donnie Charlie

JF-Expert Member
Sep 16, 2009
12,253
2,000
lengo la kulalamika sana ni kutaka mchango au? Mi nadhani weka sababu inayofanya kituo kihamishwe hapo ili tupime tatizo, wakati mwingine unaweza kuta kuna mwingiliano wa mawimbi ya sauti au matatizo ya kimitambo kati yenu na hiyo radio station nyingine.
 
Donnie Charlie

JF-Expert Member
Sep 16, 2009
12,253
2,000
Hivi TCRA ndo wanamiliki jengo la CCM ambamo Iqra wamo? Wao wana amri gani juu ya wapangaji wa CCM? Mimi nlidhani wamewafungia masafa!
Mleta mada kuna jambo unaficha, kuwa wazi.

mimi nadhani hiyo redio nyingine imekwenda kushtaki tcra tatizo fulani la mitambo. Atuletee sababu walizopewa na hao waheshimiwa
 
Mafie PM

JF-Expert Member
Mar 19, 2011
1,317
1,250
TCRA inaendeleza hujuma
dhidi ya waislam
nchini,kwani kumekuwa na
tabia ya kuvibana vyombo vya
habari vya kiislam nchini
Tanzania.Mara nyingi imekuwa ni ngumu kupata
kibali cha kuanzisha chombo
cha habari cha kiislam.
Safari hii imekuwa kwa
radio ya IQRA 100.0 FM ya jijini Mwanza ambayo bado ni
mpya.TCRA wameamrisha
redio hiyo iliyopo katika jengo
la CCM kuhama kitu ambacho
kimetufanya wadau kujiuliza
maswali mengi ya kwanini radio Iqra ihame jengo la CCM?
Wakati huo huo radio clouds
wapo hapo hata kabla ya Iqra
fm,pia kuna radio passion
fm.Swali ni kuwa radio zote
hizi mbili zimekuwepo kwenye jengo hilo la CCM kwa
muda mrefu,lakini radio IQRA
ambayo hata mwaka
haijafikisha imeamuliwa
kuondoka kwenye jengo hilo
kuna nini? Ndani ya wakati huu radio
inasaka mahali pa kuhamia
japo haikushindwa kulipa kodi
ya pango,na hata kama radio
ikishindwa kulipa pango TCRA
wanahusikaje? Hizi ni fitna! Tumshukuru ALLAH kwa kuwa
radio imepata kiwanja
katikati ya jiji na mpango
uliopo ni kujenga jengo
kwaajili ya shughuli zoteza
radio.Ewe ndugu Muislam ili kuepuka adha hizi unaombwa
kwa hali na mali kutoa
mchango wako
fedha,nondo,mabati,cement na
vifaa vinginevyo vya
ujenzi.Changia kwa M-Pesa 0753-885263 Kama upo Mwanza unaweza
kupeleka mchango wako pale
studio jengo la CCM. Haya
shime Waislam huu ndio
wakati wa kuamka,tusizilalie
mali zetu.tujitahidi ili tujikomboe ili tusinyayasike.

Acha kulalamika kama Waislam wewe, sababu ya kuhamishwa hapo hamjapewa ? Au mlikuwa mnakaa bure kwa kuwa ni jengo la ccm? Pili hapa mbona kama nakuona unafanya mchango kwa namna ya uchochezi na ulalamishi ili uonewe huruma? Ila kama ni mwislam sikushangai maana ni kawaida kulalamika hata akikosa ubwabwa kwenye kilio lazima alalamike mitaa mitatu. Punguzeni mnasomeka vibaya
 
Omutwale

JF-Expert Member
Feb 4, 2008
1,431
2,000
Bornvilla kama walivyo watu wote wanaopenda kuponea kwenye "Public Sympathy" maneno yote kulaumu TCRA kumbe lengo anatafuta huruma ya kuchangiwa! Kwa mtindo huu sitokushangaa na kesho ukija unalia kuwa TCRA inazionea TV za Kiislam na imeziamuru kutekeleza mfumo wa digitali kabla 2012!

Mbona Radio na TV Tumaini vilivyo pale St. Joseph kwenye jengo lao wenyewe wameamriwa kuhama toka mjini na hatujasikia wala kusoma malalamiko?
 
Waislam bwana! Lakini siyo wote maana kuna asilimia chache sana wastaarabu
 
nitonye

JF-Expert Member
Dec 18, 2011
7,273
2,000
mimi hizi mada naogopa hata kuzichangia maana utaonekana mchochezi hawa wenzetu waislam wanahasira sana ngoja nipite tu jamani baadae
 
Omutwale

JF-Expert Member
Feb 4, 2008
1,431
2,000
Waislam bwana! Lakini siyo wote maana kuna asilimia chache sana wastaarabu

Kuna bwana mmoja ameandika makala wiki za hivi karibuni akiwasifu RC kuwa wanacheza kama pele. Hata ukijipa upofu ukampinga, Kwenye jambo kama hili inakubidi tu uhafikiane naye.

Ona, wenzao baada ya kupewa order na TCRA wamefanya jitihada ya kukamilisha jengo mojawapo kwenye complex la Kristu Mfalme-Tabata. Pale wana nursery, P/S, Sec, Modern Social & Conference Hall, Mkombozi Bank Branch, n.k na sasa wanahamishia Studio za Radio na TV Tumaini. Na bado watabaki na space kubwa ya kufanya mambo mengine. Wenzao wanakula sahani moja kulalama na TCRA!
 
geofreyt

Member
Sep 3, 2009
28
0
Kwa ulalamishi tu!
I hate u guyz for this...hivi dini zote zingekuwa hivi,kila kitu tumeonewa...tungefika kweli??
 
Status
Not open for further replies.

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom