Wabunge na ujanja wao katika kukwepa swali la posho zao | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wabunge na ujanja wao katika kukwepa swali la posho zao

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by nitonye, Dec 18, 2011.

 1. nitonye

  nitonye JF-Expert Member

  #1
  Dec 18, 2011
  Joined: Dec 18, 2011
  Messages: 7,163
  Likes Received: 490
  Trophy Points: 180
  mimi najiuliza ila sipati majibu inakuwaje kila mbunge anayeulizwa kuhusu swala kupanda kwa posho zao hawajibu straight wanabakia kukwepa tu mfano Hamadi Rashid anaulizwa kuhusu msimamo wake anaanza kujibu eti ni mfumo unaoleta haya yaani kila mbunge, hii imekaaje jamani
   
 2. Ndibalema

  Ndibalema JF-Expert Member

  #2
  Dec 18, 2011
  Joined: Apr 26, 2008
  Messages: 10,913
  Likes Received: 100
  Trophy Points: 160
  Usicheze na pesa ndugu yangu.
   
 3. Mzee

  Mzee JF-Expert Member

  #3
  Dec 18, 2011
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 12,525
  Likes Received: 2,446
  Trophy Points: 280
  Ulitaka akujibu vipi?. Kama jibu unalo hakuna haja ya kumuuliza!
   
 4. H

  HAOMAR Member

  #4
  Dec 18, 2011
  Joined: Nov 30, 2011
  Messages: 16
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mimi nadhani t2silijadili sana hili coz haito saidia kit2 kujadili kwet2 na isitoshe wao ndo wanaendelea kula hela zao t2nazani ndio itaondoshwa iyo posho mpya kwa kujadili kwet2?
   
Loading...