Busara inahitajika hapa!!!!!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Busara inahitajika hapa!!!!!!!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by mzawahalisi, Dec 17, 2011.

 1. m

  mzawahalisi JF-Expert Member

  #1
  Dec 17, 2011
  Joined: Jan 11, 2010
  Messages: 744
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 45
  Mzazi wa kiume yaani Baba, umli umeenda na amestaafu kazi huu wapata mwaka wa pili. Watoto wake ni mmoja tu kati ya watatu ndo kahitimu na Mungu kajalia ana Ajira.
  Wamebakia wawili, mmoja kidato cha pili, na mwingine yupo chuo anasoma certficate.
  Huyo Baba ndo anategemewa kwa Ada na watoto wake hawa wawili. Sasa hivi kiinua mgongo kashakimaliza. Kazini wamemwita wamwongezee mkataba amekataa (serikalini). Akiulizwa na Nduguze kuwa haya majukumu atayakabili vipi na yeye hana mradi wowote wa kuweza kuleta kipato icho zaidi ya pensheni, anajibu. Yeye amechoka na Mtoto wake mkubwa ambaye Ndo kwanza ameajiriwa amsaidie majukumu hayo.
  Wewe ukiwa katika nafasi ya Huyu kijana utafanyaje? Majukumu yamemzidi umri. Somesha watoto wawili wote ada za takribani milioni mbili kila moja kwa miaka yote watakayo kuwa wanasoma? Ushauri wako unahitajika.
   
 2. MsakaGamba

  MsakaGamba JF-Expert Member

  #2
  Dec 17, 2011
  Joined: Jun 22, 2011
  Messages: 392
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Kakaeni kikao cha ukoo mkifikia muafaka ulete mrejesho hapa kwa magreat thinker tuudigest.
   
 3. m

  mzawahalisi JF-Expert Member

  #3
  Dec 19, 2011
  Joined: Jan 11, 2010
  Messages: 744
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 45
  Huyu muzee hashauriki maisha. Ni vhatua tu zinahitajika. Maana kasha shauriwa karibu na kila mtu lakini wapi. But thanks, advice taken.
   
 4. mmbangifingi

  mmbangifingi JF-Expert Member

  #4
  Dec 19, 2011
  Joined: Mar 9, 2011
  Messages: 2,855
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Ndo kalileta hapa kwa magreat thinker tumsaidie, we unata alete mrejesho wa maazimio ya kikao cha familia? sasa utadigest nn maazimio?
   
Loading...