Kama ni wewe | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kama ni wewe

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by tz1, Dec 18, 2011.

 1. tz1

  tz1 JF-Expert Member

  #1
  Dec 18, 2011
  Joined: Mar 19, 2011
  Messages: 2,118
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 145
  Nipo kwenye shabby bus kuelikea dom.bus linapokaria mizani,wahusika wa bus wana waomba watu waliokaa nyuma kuhamia mbele.
  Hapo si tunaharibu wenyewe barara zetu?
  Kama ni wewe ungeshirikiana na dereva na ukahamia mbele?
  Hodi dodoma.
   
 2. Mzee

  Mzee JF-Expert Member

  #2
  Dec 18, 2011
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 12,970
  Likes Received: 2,965
  Trophy Points: 280
  Huwa inakera sana. Wabongo huwa sheria zinatumika pale madhara yanapotokea.
   
 3. Mwali

  Mwali JF-Expert Member

  #3
  Dec 18, 2011
  Joined: Nov 9, 2011
  Messages: 7,032
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  hivi kuhamia mbele kunapunguza uzito wa gari kwenye mizani? kivipi?
   
 4. A

  Aisha Adam JF-Expert Member

  #4
  Dec 18, 2011
  Joined: Apr 17, 2011
  Messages: 465
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  yes, kuamia mbele kunapunguza uzito wa gari, magari yanapima kila axle kivyake na kuna mabus bodi zake nzito sana nyuma wakikaa watu lazima axle ya nyuma izidi ndo maana wakikaribia wanawasogeza na bahat yao hawajagundurika make akikamatwa anafanya hivy anaandikiwa fin ya cheating ambayo ni dola 2000
   
 5. M

  MyTz JF-Expert Member

  #5
  Dec 18, 2011
  Joined: Sep 20, 2011
  Messages: 334
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  waliokaa nyuma au unazungumzia waliosimama?
   
 6. Inkoskaz

  Inkoskaz JF-Expert Member

  #6
  Dec 18, 2011
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 6,317
  Likes Received: 438
  Trophy Points: 180
  akitaka nisimame anilipe buku kumi
   
 7. Inkoskaz

  Inkoskaz JF-Expert Member

  #7
  Dec 18, 2011
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 6,317
  Likes Received: 438
  Trophy Points: 180
  suala sio kuharibu barabara tu! Kwanza ni kushiriki kosa na pili kujihatarishia usalama.gari inazidi uzito na kukosa balance hivyo ajali kibao hata akikwepa mbuzi mnamwagika
   
 8. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #8
  Dec 18, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 583
  Trophy Points: 280
  hahahahahaha! Kweli aisee.
   
 9. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #9
  Dec 18, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  Mimi huwa nakataaa,siendi mbele wala sirud nyuma,kama faini wanapgwa wao,najua kisheria am ryt,ishawah kunitokea kwenye Al'said ya Dodoma,ABUD YA MORO NA nyagawa ya ifakara,pamoja na m0robest la Kilosa,mohamed trans la Dodoma,awe konda au tingo namkatalia,
   
 10. Narubongo

  Narubongo JF-Expert Member

  #10
  Dec 18, 2011
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 1,922
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 135
  tena kuna mabasi mkikaribia kwenye mizani mnashushwa mnatembea kwa miguu kuvuka mizani [hii inafanyika kwa maselazaidi na wale waliopandia njiani] hlf mnapanda tena basi likishavuka mzani.

  kuna mabasi mkikaribia mizani kama 5km hivi wanawapakia kwenye basi lingine ambalo mnalikuta lilishaandaliwa linawasubiri njiani, mnaenda kupanda tena basi lenu mbele kuendelea na safari
   
 11. Inkoskaz

  Inkoskaz JF-Expert Member

  #11
  Dec 18, 2011
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 6,317
  Likes Received: 438
  Trophy Points: 180
  Narubongo hoja yako inapingana na signature yako mwenyewe! au huko mlikoweza sio mnaposhuka mizani
   
 12. Jumakidogo

  Jumakidogo R I P

  #12
  Dec 18, 2011
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 1,859
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  Kama nimekata tiketi na kupewa siti. Sihami, labda niwe nimesimama.
   
 13. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #13
  Dec 18, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  Hata kama umesimama,labda uwe umepewa lifti!
   
 14. Globu

  Globu JF-Expert Member

  #14
  Dec 18, 2011
  Joined: Jan 12, 2011
  Messages: 7,975
  Likes Received: 175
  Trophy Points: 160
  Watanzania watu wa ajabu sana.
   
 15. A

  Aisha Adam JF-Expert Member

  #15
  Dec 18, 2011
  Joined: Apr 17, 2011
  Messages: 465
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Haiseee" mabas yapi hayo mkuu, yana safari za wapi? Hebu nisaidie vijana wakayafanyie kazi make wap6 tu hawana kazi na ajali ndo zinazidi kila kukicha
   
 16. mwakaboko

  mwakaboko JF-Expert Member

  #16
  Dec 18, 2011
  Joined: Sep 17, 2010
  Messages: 1,841
  Likes Received: 256
  Trophy Points: 180
  NATOFAITIANA NA NINYI MLIO WENGI KUSHABIKIA FINE. no tusishabikie fine, kuna siku moja nimepanda basi, halijajaa lkn tulipofika mizani
  hata wale wachache waliokuwa nyuma waliombwa wasogee mbele. kuna uwezekano kuna magari ni mazito au mizani zetu hazioneshi uhalisia wa uzito wa gari sio kila kitu fine
   
 17. Kabakabana

  Kabakabana JF-Expert Member

  #17
  Dec 18, 2011
  Joined: Aug 5, 2011
  Messages: 5,559
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Karibu dom.
   
 18. LiverpoolFC

  LiverpoolFC JF-Expert Member

  #18
  Dec 18, 2011
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 11,001
  Likes Received: 153
  Trophy Points: 160
  Hapo anasemea abiria waliosimama,hilo imekuwa tabia kwa Nchi yetu na wanausalama waliowekwa kwa mandiki hiyo nao wamekuwa vilaza,inaboa sana lakini Mi cjui hata tabia hii itaishiaga wapi,kwa kuwa naiamia JF ya kwmb ina kila aina ya mdau na bila shaka wataleta maoni yao humu bila shaka. LAKINI MI BINAFSI INANIGUSAGA SANA!
   
 19. A

  Aisha Adam JF-Expert Member

  #19
  Dec 18, 2011
  Joined: Apr 17, 2011
  Messages: 465
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  utabishana na sisi sbb huna uelewa na mizan, nime7ema magari yanapima kwa axle na asilimia kubwa mabasi ni mazito nyuma kulingana na nature ya bodi yake so wakikaa wa2 siti za nyuma lzm lizidi axle ya nyuma na khs charge za uzito zipo za aina mbili ya AXLE NA GVM
   
 20. Cha Moto

  Cha Moto JF-Expert Member

  #20
  Dec 19, 2011
  Joined: Jul 2, 2011
  Messages: 945
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Usithubutu!
  Nakushauri kuwa usithubutu kuhama kwenye kiti chako eti kusaidia basi kupima kwenye mizani, huo ni ushiriki wa kosa.
  Na pia ni usumbufu kwako binafsi na abiria wengine
   
Loading...