Tanesco kazi imewashinda

MASIKITIKO

JF-Expert Member
Dec 5, 2011
959
428
Huu mtindo wenu wa washa zima tumeuchoka hasa huku Kijitonya,Mnawasha dakika kumi mnazima masaa nane,Mkiwasha tena mnazima,Tumechoka na washa zima yenu mtatuunguzia vitu vyetu,Yakitokea mashindano ya mashirika ya umma yaliyofanya vibaya nyie wa kwanza pamoja na Wizara yenu,
 
Back
Top Bottom