Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Nimekuelewa mh. kwa kauli yako ya kuitaka EWURA kuwakamata wafanyabiashara ya mafuta waliogoma kuuza mafuta kuwanyang'anya leseni na kuwafikisha mahakamani kwa kuwa kitendo walichofanya ni...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
SIDHANI kama upendelo wa serikali ya Rais Jakaya Kikwete kwa mahujaji waliokwama wakati wa kujiandaa kwenda Hijja umetokana na udini. Naamini kabisa kuwa kulikuwa na sababu nyingine iliyomfanya...
0 Reactions
23 Replies
5K Views
Wakati taifa likiwa katika hekaheka na taharuki za janga la mafuriko yanayoendelea dar na huku barabara zikiwa zimefungwa na magari hayapitiki wanaume na wanawake wakwasi(mabazazi) wamepata ahueni...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Taarifa kuwa mbunge wa Wawi Hamad Rashid Mohamed ameamua kumwangukia msaliti Seif Shariff Hamad zinatia kinyaa. Kumbe naye hana tofauti na David Kafulia! Wengi walidhani ana hoja kumbe shida yake...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
anadai hakuna kwa tatizo la mafuta wkt watu wanahaha kuyasaka hayapatikani
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Ndugu wana jamii katika uchunguzi wangu nimeweza kupata data zinazoonyesha takwimu za wabunge wanao miliki bastora hapa tanzania. Takwimu za duka kuu la kuuza bastora na zana za uwindaji lipo...
0 Reactions
22 Replies
16K Views
Ndugu wanJF, mimi ni mmoja wa Watanzania wanaotumia usafiri wa daladala karibu kila siku. Lakini naona kama kero za usafiri huu zinaongezeka siku hadi siku. 1. Lugha chafu (matusi) kutoka...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Jaman wanathnker vipi hili nalo sio janga la kuwatengenezea pesa kampuz za simu mfano tigo,vodacom,airtel na zantel kuandaa sms zao za majanga kujinufaisha wao wenyewe wakowap hawa wenye kampun za...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Mamlaka ya hali ya hewa wamesema mvua itaendelea kwa siku 2 zijazo.
0 Reactions
25 Replies
4K Views
Nimefuatilia kwa ukaribu sana na nimegundua kila ifikapo mwisho wa mwaka skukuu ya Christmas serikali hutoa fungu kwa wizara zake tofauti kwa ajili ya maandalizi ya skukuu hiyo kwa kukodi wazabuni...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
KUKOSEKANA kwa mafuta ya petroli jana kulizua tafrani kubwa kwa wakazi wa Jiji la Dar es alaam baada ya vituo vingi vinavyouza nishati hiyo kugoma kutoa huduma hiyo. Misururu mingi ya magari hasa...
0 Reactions
31 Replies
4K Views
Ni kuhusu matokeo ya ugonjwa wake Ripoti nzito ya madaktari yatua serikalini Asema amerudi salama, hatalipiza kisasi Naibu Waziri wa Miundombinu, Harison Mwakyembe, akizungumza na wandishi wa...
1 Reactions
20 Replies
3K Views
I'm delighted to welcome in our midst: Mr. Jenerali Ulimwengu Mr. Orton Kiishweko Ms. Salome Gregory Mr. Finnigan wa Simbeye and Mr. Eric Kabendera Ms. Fausta Musokwa The Splendid Quintet will...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
‎***we do it for the people*** KAMATI KUU YA VINEGA WA ANTI-VIRUS IMEAMUA KUWA, KATIKA KILA TSHS 3,000/- YA KIINGILIO CHA CONCERT YA MBEYA DEC 24...,TSHS 1,000/- ITAENDA KWA WAATHIRIKA WA...
2 Reactions
7 Replies
2K Views
Minister defends his PhD The minister for East African Cooperation, Dr Diodorus Kamala, yesterday defended his doctorate degree in the wake of reports that a number of ministers and MPs have...
0 Reactions
38 Replies
7K Views
Wakuu! ni wiki ya pili sasa kila ninapoweka pesa kwenye laini yangu ya Vodacom wana tuma message kuwa umekatwa shs. 600 kwa kutumia huduma "yako" ya swaga!!!! katika siku tano tayari wameshakata...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kuna tetesi nazipata hapa nilipo kuwa huenda wafanyakazi wa ile radio inayosemekana ya Mh. Huenda wakagoma baada ya uvumilivu wa kusubiria mshahara wao wa mwezi Nov 2011 kutozaa matunda...
0 Reactions
17 Replies
3K Views
Tanzania Daily News (Dar es Salaam) Finnigan Wa Simbeye 20 December 2011 AN ambitious project to expand and modernise Kilimanjaro International Airport by 2015 that will allow more world class...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
JUKWAA la Wahariri nchini (TEF) limesema kukamatwa kwa Mhariri Mtendaji wa Kampuni ya Free Media inayochapisha magazeti ya Tanzania Daima na Sayari, Absalom Kibanda, ni utekelezaji wa mpango wa...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Ilikuwa inaitwa Kenya African National Union (KANU) Sasa inaitwa: Kenya Alliance Of National Unity (KANU)
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Back
Top Bottom