Ya kafulila na NCCR kumkumba Hamad Rashid na CUF

Michael Scofield

JF-Expert Member
Jul 30, 2011
1,225
471
Matatizo yaliyojitokeza katika chama cha NCCR mageuzi mpaka kusababisha mh David Kafulila kuvuliwa uanachama, uenda yakamkumba mh Hamad Rashid ndani ya CUF kama ataendelea kukiuka taratibu na misingi iliyowekwa na chama chake.
Namuomba meshimiwa Hamad Rashid awe mpole katika kipindi hiki cha mpito yasije kumkuta kama yaliyomkuta mheshimiwa Kafulila.
 
Ngoja nao wayaone waliibeza sana Chadema ilipowatimua madiwani wa Arusha.
 
Matatizo yaliyojitokeza katika chama cha NCCR mageuzi mpaka kusababisha mh David Kafulila kuvuliwa uanachama, uenda yakamkumba mh Hamad Rashid ndani ya CUF kama ataendelea kukiuka taratibu na misingi iliyowekwa na chama chake.
Namuomba meshimiwa Hamad Rashid awe mpole katika kipindi hiki cha mpito yasije kumkuta kama yaliyomkuta mheshimiwa Kafulila.

yeye ni mpiganaji!!!!na amejipanga though at the end itakula kwake!!!!!!!
 
Cuf mkumfukuza mh. Hamad rashid mnazidi kujichimbia shimo katika siasa za tanzania mawazo yake ni chanya acheni ukiritimba na fitina fanyieni kazi mawazo yake ili kurudisha uhai wa chama hususani kwa upande wa tanzania bara.
 
...kama ana uhakika na anachokifanya aendelee, hakuna mtata.
 
Kafulila kweli amefulia
Kafulila kamwambia Mbatia ni CCM B, na Mbatia kamufukuza kafulila na baada ya hapo Mbatia kaenda kumuona Mwenyekiti wa CCM!!! Hivi nani kafulia Mbatia au Kafulila!!
Hivi kati ya kokosa Ubunge na kusema ukweli ni lipi jema Kwa Jamii ya wanyonge??
Yusufu alisema ukweli akafungwa gerezani lakini baadaye ndiye aliyewakoa ndugu zake wote Kwenye Utumwa wa njaa!!

Angalia wewe unapigania nini???
Nyerere aliasi Serikali ya Ukoloni na kukosa Ubunge!!! Leo hakuna Mtu anayeweza kumusema Nyerere!!!!!!!!

Kama aliyosema kafulila ni uongo sema ,toa hoja!!!!!!!!!!
 
Rashid kaweka wazi kuwa akifukuzwa anaanzisha chama kingine. Na hili CUF waliangalie kwa umakini sana maana jamaa si wakubeza, anaweza akawajeruhi sana kwa kukimega chama. Kafulila alikosea sana kwa kuangua kilio na kufuta viatu vya Mbatia. Angekomaa kwa kukata rufaa mkutano mkuu ungetengua kwani wajumbe wengi wa mkutano mkuu wana mtazamo kama wa Kafulia juu ya Mbatia.
 
Back
Top Bottom