Harambee ya Tv Imani Ilikuwa si Habari? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Harambee ya Tv Imani Ilikuwa si Habari?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Bornvilla, Dec 19, 2011.

Thread Status:
Not open for further replies.
 1. Bornvilla

  Bornvilla JF-Expert Member

  #1
  Dec 19, 2011
  Joined: Feb 17, 2011
  Messages: 925
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 35
  Watu walikuwa wengi sana na mamilioni yalikusanywa! Lakini vyombo vya habari havikuipa kipaumbele je,hiyo si habari? Mbona harambee za makanisa zinapamba vyombo vya habari? Kunanini hapa?
   
 2. MkimbizwaMbio

  MkimbizwaMbio JF-Expert Member

  #2
  Dec 19, 2011
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 872
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  TV imani itakusaidia nini zaidi ya chokochoko tu.
  Tunataka mambo ya kimaendeleo
   
 3. SILENT ACtOR

  SILENT ACtOR JF-Expert Member

  #3
  Dec 19, 2011
  Joined: Apr 9, 2011
  Messages: 618
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 45
  Wao wana watangazaji vihiyo, wanaoongea kwa kutumia hisia, hawana maofisa uhusiano; bado hawajakamilika kama taasisi.
   
 4. Daudi Mchambuzi

  Daudi Mchambuzi JF-Expert Member

  #4
  Dec 19, 2011
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 31,811
  Likes Received: 36,889
  Trophy Points: 280
  kwani wewe binafsi unaonaje?
   
 5. Safety last

  Safety last JF-Expert Member

  #5
  Dec 19, 2011
  Joined: Mar 24, 2011
  Messages: 4,224
  Likes Received: 164
  Trophy Points: 160
  Ndio mjue nyie ktk hii nchi hamthaminiwi pamoja na kumuunga mkono jk sababu ni mwenzenu.
   
 6. M

  Mafie PM JF-Expert Member

  #6
  Dec 19, 2011
  Joined: Mar 19, 2011
  Messages: 1,318
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 135
  Hatutaki habari zake, pia wanahabari huangalia habari inayoweza kuuza na kufurahiwa na watu
   
 7. K

  Kolero JF-Expert Member

  #7
  Dec 19, 2011
  Joined: Apr 11, 2010
  Messages: 493
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Hongera kwa ufanisi. Hata mie niliwauliza baadhi ya Wanahabari, walichojibu HAWAKUALIKWA kama ilivyokuwa wakati wa Makongamano ya Waislamu, ni Radio Imaan tu ilikuwa mwenyeji wa Makongamano hayo, pia ndiyo inaweza kuripoti vizuri mambo ya aina hiyo bila kuhujumu kitu.
   
 8. Tony Almeda

  Tony Almeda JF-Expert Member

  #8
  Dec 19, 2011
  Joined: Sep 18, 2011
  Messages: 397
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Mwenzio Malaria sugu alikuja na thread yake ya "itv ina ubaguzi wa kidini" ikafungwa muda si mrefu, bahada ya kuonekana inaanza kuhatarisha amani na mshikamano tuliokuwa nao ndani ya JF. na wewe naona unaanza hayohayo. Hivi hamna kingine cha kuandika humu zaidi ya habari zinazoashiria udini?
   
 9. K

  Kubingwa JF-Expert Member

  #9
  Dec 19, 2011
  Joined: Apr 23, 2010
  Messages: 502
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Ni habari na ndo maana umeileta hapa kwa magreat thinkers waichambue. Lakini mngefanya hivi tangu miaka ile 1992 kipindi kile cha akina Kighoma Malima,mngekuwa mbali na hata vyuo mngejenga.Na usitegemee waandishi wa habari,kwani mliwaalika na walikuja na hawakui publish? Au umekurupuka tu!
   
 10. Memo

  Memo JF-Expert Member

  #10
  Dec 19, 2011
  Joined: Jan 17, 2011
  Messages: 2,147
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  kwani al nuur halikuandika pia? Ile radio ya moro haikusema lolote pia?

  Dah, pole sana mkuu. Lakini dhumuni lilikuwa kuongelewa kwenye vyombo vya habari au kupata fedha za kuanzisha kituo cha luninga?? Mmepata mijihela au hamjapata??

  Unajua ukifanya assessment ya activity/event kwa kutumia objectives ambazo sio za main event unaonekana wewe ni assessor/evaluator kihiyo.
   
 11. Gama

  Gama JF-Expert Member

  #11
  Dec 19, 2011
  Joined: Jan 9, 2010
  Messages: 9,223
  Likes Received: 1,412
  Trophy Points: 280
  wewe ndo unagundua leo kuwa hata wanahabari waislam hawajui lipi la kuandika na lipi la kuacha. Wewe ndo unagundua leo kuwa habari za uislam hazina mteja?!.
   
 12. Memo

  Memo JF-Expert Member

  #12
  Dec 19, 2011
  Joined: Jan 17, 2011
  Messages: 2,147
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  hatuna jambo jingine, hili jambo kwetu sisi ni jambo kubwa sana, na tunasikitika kwa nini tbc, itv, radio one, ea tv and radio, star tv, chanel 10, magic radio, clouds tv and radio, radio uhuru, znz tv and radio to mention the least hawakuona umuhimu wa shughuli yetu hii???!!
   
 13. Omutwale

  Omutwale JF-Expert Member

  #13
  Dec 19, 2011
  Joined: Feb 4, 2008
  Messages: 1,429
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Bornvilla,

  Kwa nini dhehebu kubwa na linalotaka hadhi linashindwa hata na vi-NGO! Kuna kitu kinaitwa Social Marketing. Hii dhana kwanza inatambua umuhimu wa kuwa na mtu wa Uvumishaji na Masoko (Promotion and Marketing) si katika taasisi na makampuni yanayojiendesha kwa kutafuta faida tu, bali hata katika asasi, Taasisi na mashirika yanasiyojiendesha kwa kutafuta faida.

  Ni Taasisi na asasi zilizobaki zikikumbatia mtazamo wa kizamani tu ndo zinaathirika kwa kuwa na habari zisizofika kwenye hadhira kubwa zaidi; yaani vyombo vya habari. Na kwa taarifa yako kina Pasco (waandishi) hawaji bila mwaliko. Labda tukio hilo liwe ni ajali! Swali Je, mliwaalika?

  Usitake kuniaminisha kuwa BAKWATA na lundo la matawi ya Taasisi ndogo ndogo zote e.g BATAMIKI etal hawana kitengo cha Habari! Hii itatia wasiwasi kuwa mmejenga msikiti kabla ya kuwafundisha watu kuswali! Namaanisha mnataka kumiliki chombo cha habari bila kuwa na au kuwaandaa watakaokuwa wanakusanya na kutangaza hizo habari.  [​IMG]

   

  Attached Files:

 14. kichomiz

  kichomiz JF-Expert Member

  #14
  Dec 19, 2011
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 12,026
  Likes Received: 2,672
  Trophy Points: 280
  Uwezo wao wa kufikiri ndio umeishia hapo.
   
 15. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #15
  Dec 19, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  ukifikiria sana hii nchi unaweza ukauwa watu bure..
   
 16. Memo

  Memo JF-Expert Member

  #16
  Dec 19, 2011
  Joined: Jan 17, 2011
  Messages: 2,147
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  huo ni udini, mbona shughuli za wakristo waandishi wanakwenda na wanaripoti? Au wanapewa mlungula? Au kwa vile sisi waislamu hatutoi mlungula?
   
 17. s

  sweke34 JF-Expert Member

  #17
  Dec 19, 2011
  Joined: Sep 28, 2010
  Messages: 2,533
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Mimi nadhani hata mkifanikiwa kuizindua hiyo TV Imani bado mtaendelea kulalamika kuwa mbona TV yetu haitangazwi na TV nyingine. Watu wa ajabu sana!
   
 18. T

  Think Tank JF-Expert Member

  #18
  Dec 19, 2011
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 234
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Mmepeleka malalamiko yenu kwa maandishi kwa vyombo husika au kama kawa na mambo yetu ya kulalamika!Na je vyombo hvyo vilialikwa?Kama hawakualikwa kwanini waipe kiupaumbele?Au ule mtindo wetu mwingine dhanifu,kwamba watakuwa wanajua tu!Na je wahusika wa harambee wametoa tamko kuhusu ishu hii?
   
 19. IGWE

  IGWE JF-Expert Member

  #19
  Dec 19, 2011
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 7,753
  Likes Received: 1,326
  Trophy Points: 280
  islamic jihad,..............tangazeni wakuu halafu sisi waumini tuandamane mitaani kushinikiza kutambulika kwa tv iman_au unasemaje sheikh
   
 20. Omutwale

  Omutwale JF-Expert Member

  #20
  Dec 19, 2011
  Joined: Feb 4, 2008
  Messages: 1,429
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Chanel Ten ina wanahisa Waisalam. Je, walilitangaza tukio? Rejea swali la msingi Muliwaalika?

  Unapomwalika Mwandishi au media house unapata walau uhakika wa tukio lako kupata nafasi katika habari za shirika lake. Unamrahisishia Mwandishi kuondoka rasmi ofisini, kupewa vifaa, kupewa nafasi ya taarifa yake iwe katika Tv au magazeti na hata akitaka kuendeleza hiyo habari inakuwa raisi kwake. Kwa mfano katika habari yenu kuna watu walitoa ahadi na si wote walitoa pesa taslimu. Baada ya muda mwandishi huyo huyo anaweza kuja kwa viongozi kutaka kupata mrejesho na maendeleo ya makusanyo.

  Baadhi ya watu wa mlengo huu mwafanana na watoto wa Baba wa Kambo. Hata uwalee kwa mapenzi ya kufikia kutoa uhai wako, bado wataisi hata kufa kwako kwa ajili yao kuwa ni kuwatesa na kuwanyanyasa. Hawana kumbukumbu wala shukrani. Yaani ITV/Mengi ambaye aliwapa airtime miaka yote Bure ndo mnamsimanga hivi??
   
Thread Status:
Not open for further replies.
Loading...