Je,sisi wanyonge tutaweza? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Je,sisi wanyonge tutaweza?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by kayundi2, Dec 19, 2011.

 1. k

  kayundi2 JF-Expert Member

  #1
  Dec 19, 2011
  Joined: Feb 2, 2009
  Messages: 213
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Gazeti la Citizen leo hii limebeba habari muhimu kwa wale wanaotaka kustrahe katika sehemu mbalimbali hapa nchini siku ya krismasi.
  KuhuZunisha ni kwamba gharama za mahoteli zimeongezwa marudufu huku hotel moja jijini Dar-es-laam ikiitisha USD 28,000
  kwa usiku wa tarehe 24.Linganisha bei katika hotel muhimi jijini Dar
  Linganisha Gharama Za Mahoteli Jijini Dar-es-laam and Miji Mingine Tanzania
   
 2. k

  kotinkarwak JF-Expert Member

  #2
  Dec 19, 2011
  Joined: Aug 5, 2010
  Messages: 386
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Wana tuzoesha kuona hizi bei za kutisha na jinsi bei zinavyopanda, mbona baada ya muda tutaona haya yote ni sawa!?
  Kujibu swali, Ndio tunaweza, tunaweza kuukataa huu ujinga!!!!!
   
Loading...