PhD na Degree za Mwezi Mmoja: Jamani hii inaingia akilini kweli? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

PhD na Degree za Mwezi Mmoja: Jamani hii inaingia akilini kweli?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by KiuyaJibu, Aug 19, 2009.

 1. KiuyaJibu

  KiuyaJibu JF-Expert Member

  #1
  Aug 19, 2009
  Joined: Aug 29, 2007
  Messages: 769
  Likes Received: 70
  Trophy Points: 45
  Kuna jamaa nafikiri wako Marekani kama sijakosea!Mara kwa mara wananitumia matangazo yao kupitia e-mail address yangu kama ujumbe wao unavyojieleza hapa chini.
  Hii huduma wanayotoa,binafsi sikubaliani nayo;sijui kuna mtu yeyote ambaye amekumbana na habari kama hii?Hebu wadau hapa ndani naomba mnisaidie,kwa level za elimu walizozitaja hapo kuna uwezekano kweli wakupata elimu hiyo kwa mfumo kama huo?

  Get more money for less work

  Now you are getting a 100% verifiable degree in just 4-5 weeks, with the help of your work experience.
  You can get Bachelors, Masters or Doctorate degree in a few weeks time.

  Give us a call now.
  1 305 460 5721

  Drop us your msg, with your full name and contact number so we can call you back.
   
 2. Kaa la Moto

  Kaa la Moto JF-Expert Member

  #2
  Aug 19, 2009
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 7,666
  Likes Received: 164
  Trophy Points: 160
  Dr Mahanga, Dr Nagu, Dr Kamala, na Dr Majiyatanga wanaweza kukupa maelezo mazuri maana wamepitia vyuo hivi na kupata PHD:D
   
 3. Bluray

  Bluray JF-Expert Member

  #3
  Aug 19, 2009
  Joined: Mar 25, 2008
  Messages: 3,446
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 135
  Muulize Mustapha Mkullo.
   
 4. B

  Bulesi JF-Expert Member

  #4
  Aug 20, 2009
  Joined: May 14, 2008
  Messages: 6,447
  Likes Received: 414
  Trophy Points: 180
  Nadhani Nchimbi pale wizara ya ulinzi anaweza kuwa na msaada kwako!!
   
 5. J

  Jobo JF-Expert Member

  #5
  Aug 20, 2009
  Joined: May 15, 2008
  Messages: 588
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Why dont you just ignore the message!
   
 6. Mutensa

  Mutensa JF-Expert Member

  #6
  Aug 20, 2009
  Joined: Feb 20, 2009
  Messages: 426
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Hili ndo jibu.
  Hakuna degree ya kupata ndani ya week hizo. Tungekuwa nazo nyingi zaidi. Tunazo lakini sio za muda mfupi vile..... Halafu pia kumbuka degree inasotewa jamani, sio kitu cha kupata tu.

  __****____________*************_____________*******
  "Elimu ni ile inayobaki kichwani baada ya kumaliza shule, sio alama ulizopata enzi hizoooo za mitihani" - Mutensa.
   
 7. l

  libidozy Member

  #7
  Aug 20, 2009
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 56
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  umemsahau dr.ndodi,dr.kalokola wa jkb,dr.remmy ongara,dr.masinde,dr.kajura n.k
   
 8. Visenti

  Visenti JF-Expert Member

  #8
  Aug 20, 2009
  Joined: Jul 24, 2008
  Messages: 1,031
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 133
  Hizo ni degree na PHD za chekechea!
   
 9. k

  kanda2 JF-Expert Member

  #9
  Aug 20, 2009
  Joined: Apr 22, 2007
  Messages: 1,318
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 145
  USIMSAHAU NAIBU WAZIRI MATHAYO DAVID,NAIBU WAZIRI NCHIMBI,WILIAM LUKUVI NA AUGUSTINE MREMA WOTE WANA FEKI DIGRI NA phD.
   
 10. Junius

  Junius JF-Expert Member

  #10
  Aug 20, 2009
  Joined: Mar 11, 2009
  Messages: 3,183
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 133
  Na nyie kwa kuchimba watu hamuwezekani.
   
 11. A

  Amwanga JF-Expert Member

  #11
  Aug 20, 2009
  Joined: Jan 11, 2009
  Messages: 294
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  Mmemsahau Muheshimiwa Sumaye, duuu, amakweli degree zinauzwa kama karanga kariakoo, ndo maana hamna think tanker sasa hivi pamoja na ma degree makubwa
   
 12. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #12
  Aug 20, 2009
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Muulize FMES kupenda slope madhara yake!
   
 13. V

  Vakwavwe JF-Expert Member

  #13
  Aug 21, 2009
  Joined: May 16, 2009
  Messages: 507
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  .....teh teh labda kuna bachelor na masters za heshima kama ilivyo kwa phD....
  za akina dk Karume,dk Kikwete,dk Mwinyi n.k. ni ngumu kuzizoea!!!!nimeona bango zanzibar limeandikwa ''dk Karume kinara wa maendeleo''nilifikiri ni mdogo wake kumbe ndo yuleyule.....
  mmh!
   
 14. X-PASTER

  X-PASTER Moderator

  #14
  Aug 21, 2009
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 11,651
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Jiunge nao kwanza then angalia kama inalipa au la! Si wamekuhakikishia witin a week unapata pichidii yako... tatizo ninni!?
   
 15. Kichuguu

  Kichuguu Platinum Member

  #15
  Aug 21, 2009
  Joined: Oct 11, 2006
  Messages: 7,202
  Likes Received: 864
  Trophy Points: 280
  Jiandikishe upate digrii yako. Unaweza kuukwaa uwaziri au uwaziri mdogo kwenye serikali ya JK
   
 16. X-PASTER

  X-PASTER Moderator

  #16
  Aug 21, 2009
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 11,651
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Tena hafanye haraka kabla ya mwaka kuisha maana uchaguzi ndio huo. Unanukia nukia.
   
 17. Tatu

  Tatu JF-Expert Member

  #17
  Aug 21, 2009
  Joined: Oct 6, 2006
  Messages: 1,081
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 145
  Not Really! Usiwashushie hadhi chekechea kiasi hicho kwani siku hizi wanavaa majoho yao ya kuhitimu baada ya mwaka na sio wiki 4.
   
 18. Pretty

  Pretty JF-Expert Member

  #18
  Aug 21, 2009
  Joined: Mar 19, 2009
  Messages: 2,582
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 135
  Kuna siku nilikuwa naongea na kigogo fulani wa serikali yetu, nikamuuliza inakuwaje baadhi ya viongozi wetu haswa mawaziri na baadhi ya wabunge wana degree/PhD za miezi au mwaka? Akanijibu kwamba hiyo haina tatizo, maana hivyo vyuo vinavyotoa hizo degree na Phd ni kwa ajili ya wanasiasa, na wanasiasa wanakwenda kwenye hivyo vyuo vya muda mfupi ili wapate sifa za udokta. Maana ukiwa mwanasiasa ni muhimu kuwa na cheo cha udokta, hivyo hata serikali inalitambua hilo.
  Alivyonijibu hivyo nikachoka kweli kweli, kumbe serikali inatambua ndio maana watu hata wakipiga kelele kwamba fulani ana degree feki au PhD feki wapo kimyaa tu.Kumbe wenzetu wanasoma ili wapate sifa za udokta na sio kupata elimu bora ya kuelimika. Ndio maana uozo hauishi kwenye hii serikali ya hapa nchini kwetu.
   
 19. M

  Magezi JF-Expert Member

  #19
  Aug 21, 2009
  Joined: Oct 26, 2008
  Messages: 2,827
  Likes Received: 87
  Trophy Points: 145
  Yote haya hayasaidiii labda tubadilishe tactics i.e. tuanze kuwavamia tunaojua kweli ni mafisadi na kuchoma mali zao. Ni wazo tu.
   
 20. w

  wasp JF-Expert Member

  #20
  Aug 21, 2009
  Joined: Aug 19, 2009
  Messages: 206
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Viongozi wa sisiem wanapenda ufisadi sana mpaka kwenye elimu. Ndiyo maana hata waliopata PhD za online na honorary PhD wanazipapatikia na kuziweka mwanzoni mwa majina yao. Ukimuomba akuonyeshe "PhD Thesis" alioandika jibu litakuwa Sina!
   
Loading...