Utabiri wa hali ya Hewa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Utabiri wa hali ya Hewa

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Bajabiri, Dec 20, 2011.

 1. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #1
  Dec 20, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  Mamlaka ya hali ya hewa wamesema mvua itaendelea kwa siku 2 zijazo.
   
 2. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #2
  Dec 20, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 583
  Trophy Points: 280
  Wana uhakika?
   
 3. Tony Almeda

  Tony Almeda JF-Expert Member

  #3
  Dec 20, 2011
  Joined: Sep 18, 2011
  Messages: 397
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Yaani hawa jamaa hata siwaelewi, nawaomba ndugu zangu tusiwaamini hundred percent.
   
 4. M

  Milindi JF-Expert Member

  #4
  Dec 20, 2011
  Joined: Mar 3, 2009
  Messages: 1,213
  Likes Received: 374
  Trophy Points: 180
  Wapuuzi kabisa hawa kwa nini hawakusema juzi ili tujiandae kuhama,baada ya kuona imemwagika kwa wingi ndio wanasema itaendelea kwa siku mbili pambafuuuuu!!!!!!!!!!!!!!!!
   
 5. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #5
  Dec 20, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  Ndio maana nimewaleta hapa,maana tma huja afta event,hahahah
   
 6. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #6
  Dec 20, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  Hahahahahah,sasa c event imetokea?
   
 7. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #7
  Dec 20, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  Hahahah
  hawa ni wapga ramli
   
 8. Msarendo

  Msarendo JF-Expert Member

  #8
  Dec 20, 2011
  Joined: Jan 29, 2011
  Messages: 9,147
  Likes Received: 3,335
  Trophy Points: 280
  Wanabahatisha hao mr. Bajabiri.
   
 9. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #9
  Dec 20, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  Tena wanasema itatokea nch nzima
   
 10. LiverpoolFC

  LiverpoolFC JF-Expert Member

  #10
  Dec 20, 2011
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 11,001
  Likes Received: 153
  Trophy Points: 160
  Mbona huku kanda ya kaskazini utabiri haunaga ukweli?
   
 11. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #11
  Dec 21, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  The 2nd Day,
  dar haitamaniki kwa mvua,
   
 12. Victoire

  Victoire JF-Expert Member

  #12
  Dec 21, 2011
  Joined: Jul 4, 2008
  Messages: 10,453
  Likes Received: 7,219
  Trophy Points: 280
  Kazi ipo
   
 13. D

  DURACEF JF-Expert Member

  #13
  Dec 21, 2011
  Joined: Apr 20, 2011
  Messages: 244
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 45
  ukifika ofisini kwao wana barometer tu wapo hoi......hawana hata confidence na kazi yao
   
 14. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #14
  Dec 21, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  Jaman hali ya mvua inatishia,ni hatari sana
   
 15. yutong

  yutong JF-Expert Member

  #15
  Dec 21, 2011
  Joined: Apr 15, 2011
  Messages: 1,604
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Hapo safari na semina kila kukicha. Nchi ningine mtu ameshajiuzulu hapo, lakini hapa kwetu bora liende.
   
 16. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #16
  Dec 21, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  Yutong
  kujiuzuru si utamadun wetu bhanaaa,hujui?
   
 17. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #17
  Dec 21, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  bora leo ni siku ya kwanza inaishilizia maana ikiendelea kidogo tu hakuna ishu yoyote itakayofanywa..
   
 18. Biera

  Biera JF-Expert Member

  #18
  Dec 21, 2011
  Joined: Dec 7, 2010
  Messages: 438
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  walishasema kuhusu mvua kitambo,may b wewe c mtazamaji wa utabiri wa hali ya hewa
   
 19. m

  mariavictima Senior Member

  #19
  Dec 21, 2011
  Joined: Jul 8, 2010
  Messages: 180
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Mpumbavu kuliko wote ni wewe usiyefuatilia taarifa za habari pamoja na magazeti. Kazi yako kukaa kijiweni kuchungulia wanawake wanaopika vitumbua. Mamlaka ya Hali ya Hewa ilitangaza na kutoa taarifa mapema tangu mwezi wa Tisa kuwa kufikia mwishoni mwa mwaka kutakuwa na mvua kubwa na mafuriko hivyo watu wote wachukue taadhari na wa mabondeni wahame. Ninawapongeza sana kwa Utabiri wao SAHIHI. BIG UP TMA.
   
 20. trachomatis

  trachomatis JF-Expert Member

  #20
  Dec 21, 2011
  Joined: Jun 7, 2011
  Messages: 3,653
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 145
  kwa hiyo bado kesho tu si ndiyo? Halafu basi!
   
Loading...