hivi titus kaguo wa ewura anatumia kichwa kufikiri? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

hivi titus kaguo wa ewura anatumia kichwa kufikiri?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by luck, Dec 20, 2011.

 1. luck

  luck JF-Expert Member

  #1
  Dec 20, 2011
  Joined: Oct 3, 2009
  Messages: 768
  Likes Received: 283
  Trophy Points: 80
  anadai hakuna kwa tatizo la mafuta wkt watu wanahaha kuyasaka hayapatikani
   
 2. C

  CHUAKACHARA JF-Expert Member

  #2
  Dec 20, 2011
  Joined: Jun 3, 2011
  Messages: 12,200
  Likes Received: 3,810
  Trophy Points: 280
  Ngoja atakujibu, nadhani ana jibu zuri.
   
 3. Riwa

  Riwa JF-Expert Member

  #3
  Dec 20, 2011
  Joined: Oct 11, 2007
  Messages: 2,601
  Likes Received: 232
  Trophy Points: 160
  Mi aliponikera ni pale alisema anshangaa watu kujazana kwenye petrol station wakati mafuta yamejaa bwerere....yaani kama watu wanaona starehe kujazana huko petrol station! Nawashauri watafute msemaji wa idara (kama Tanesco Badra Masoud anawasaidia sana) lakini sio kama yule ***** Kaguo alivyokuwa anaropoka ropoka jana!
   
 4. MUSONI

  MUSONI JF-Expert Member

  #4
  Dec 21, 2011
  Joined: Dec 20, 2011
  Messages: 554
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 45
  Miminafikiri ni muhimu kutumia sheria zilizopo na kuwabana wenye vituo vya mafuta badala ya kutupatia 'version tofauti kilakukicha .wanapopandishiwa bei mbona haraka haraka wanapandisha beina mafuta yanakuwepo kosa wakipunguziwa.
   
Loading...