Mabazazi waneemeka na mafuriko | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mabazazi waneemeka na mafuriko

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by mopaozi, Dec 21, 2011.

 1. mopaozi

  mopaozi JF-Expert Member

  #1
  Dec 21, 2011
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 3,290
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Wakati taifa likiwa katika hekaheka na taharuki za janga la mafuriko yanayoendelea dar na huku barabara zikiwa zimefungwa na magari hayapitiki wanaume na wanawake wakwasi(mabazazi) wamepata ahueni ya kufanyiza uzinzi wao kwa kisingizio kuwa foleni na barabara hazipitiki, magari yamezamishwa na maji kama sababu zilizowafanya kuchelewa kurudi nyumbani baada ya kurudi usiku mnene huku wengine wameamua kulala huko huko kwa mahawara zao kwa madai kuwa gari ilitumbukia darajani akashindwa kutoka hadi kutolewa akiwa hajitambui kazindukia hospitali kumekucha !!!!!!!!
   
 2. mmbangifingi

  mmbangifingi JF-Expert Member

  #2
  Dec 22, 2011
  Joined: Mar 9, 2011
  Messages: 2,855
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  craaaaaap!
   
Loading...