Nimegundua kwamba, rain drops za mvua ikiwa ni kubwa mara nyingi huwa inaleta maafa makubwa sana baadhi maeneo kwa sababu inakusanya maji mengi kwa haraka na kwa muda mfupi ndipo hutokea mafuriko...
These interesting photos are those of a Dutch tourist caught smuggling those lovely hummingbirds by French customs officers at the Rochambeau airport in Cayenne, French Guiana. You have to hand it...
MBUNGE wa Tabora Mjini, Ismail Rage na Diwani wa Kata ya ChemChem, Furaha Ikunji, jana walijikuta kwenye wakati mgumu baada ya kuzomewa na wananchi kwenye mkutano wa hadhara. Hatua hiyo...
...ina maana anataka kuniambia kuwa ni kosa la waathirika (na sio wahanga maana kuwaita "wahanga" ina maana walijitolea wao wenywewe kupata hayo maafa) wenyewe. Kama ndivyo hivyo, kwa nini...
Wakat wa kampen ya uchaguz, si chadema wala ccm, wote walitumia kila njia kuonyesha mabavu, walitumia helikopta kuomba kura, na iman sio lazima mpaka chadema iwe madarakan ndo ichukue hatua, if...
COPIED FROM FB, by Mtanzania Halisi:
Nukuu ya Samson Mwigamba: -
Kwa sasa napenda kuwaambia wasomaji wangu kwamba safari yangu ya siku 8 iliyoanzia chumba cha mahabusu cha Kituo Kikuu cha...
Hello GT,, nianze kwa kutoa pole kwa watanzania wote walioathirika na haya mafuriko ya hapa tz,, Leo naombeni kujua ndugu zangu ktk suala zima la utabili wa mvua kwamba hivi mamlaka ya hali ya...
Katika kile ambacho imeonekana wazi kua serikali imeshindwa kua makini,walimu wote nchi nzima wataingia katika mgomo wa kudumu,Sababu ya msingi ni baada ya serikali kuonekana inataka kuwachezea...
kwa sababu mzee wa magogoni ameshndwa kutoa tamko kuhusu maafa,nakuomba Dk Slaa toa tamko na pia toa ile helcopt ije itoe msaada nadhani watu wataelewa vizur nani kiongoz bora na nani bora kiongoz
Wapendwa katika bwana
nilikuwa katika maombi ya kuomba mvua inyeshe pale jangwani na kule mnazimmoja
mungu ameamua kufungua koki kabisa kusikiliza maombi yenu
je amuhisi soln ya hizi mvua turrudi...
Jeshi la Polisi Mkoani Singida lipo katika kashfa nzito ya Wizi wa pesa za Watanzania. Jeshi la Polisi Mkoani humo limejenga Jengo la Ghorofa mbili, eneo la FFU kule Manguanjuki, na Jingine Jengo...
Nakumbuka vizuri kama sikosei ni mwishoni mwa miaka ya 1980 au mwanzoni mwa 1990 mvua kubwa ilinyesha nchini na hasa dsm ambapo rais wa wakati huo mzee mwinyi alitembelea sehemu zote za maafa hata...
Sote ni mashahidi kuwa tulishuhudia jinsi vyombo vya magharibi vilivyorepoti juu ya kila kilichoitwa Arab spring, na vyombo vyetu vilikuwa ni photocopy ya vyombo hivyo. Hivi sasa ni zaidi ya miezi...
Nimekuwa nikifuatilia habari kupitia redio baada ya umeme kutokuwepo muda mrefu na hivyo kushindwa kufuatilia matukio kupitia TV, redio clouds wamejitahidi sana kwani kuanzia kipindi chao kile cha...
Nilikuwa natafuta orodha ya viwanja vikubwa kabisa vya soka duniani...katika pita pita yangu kwenye net nikaibukia kwenye wikipedia na kukutana na habari hii.
Tafadhali soma hii link hapa chini...
Mwokoaji Abed Abdalla, alisema said baada ya kukaa katika mti huo zaidi ya saa tatu bila msaada wowote, alikusanya vijana na kutafuta kamba ili waweze kumuokoa.Alisema baada ya kutafuta kamba...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.