Kampun za simu ziko wap na sms za majanga au bado | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kampun za simu ziko wap na sms za majanga au bado

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by MUREFU, Dec 21, 2011.

 1. MUREFU

  MUREFU JF-Expert Member

  #1
  Dec 21, 2011
  Joined: Oct 1, 2010
  Messages: 1,230
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 145
  Jaman wanathnker vipi hili nalo sio janga la kuwatengenezea pesa kampuz za simu mfano tigo,vodacom,airtel na zantel kuandaa sms zao za majanga kujinufaisha wao wenyewe wakowap hawa wenye kampun za simu watengeneze pesa au bado
   
 2. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #2
  Dec 21, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  mpaka litakapo malizika ndio pazuri pakuwala wadaganyika..
   
 3. MUREFU

  MUREFU JF-Expert Member

  #3
  Dec 21, 2011
  Joined: Oct 1, 2010
  Messages: 1,230
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 145
  umeonaee kumbe ndo tabia zao kwann wasiwasaidie hv sasa kama kwel wanataka kutoa msaada
   
 4. Inkoskaz

  Inkoskaz JF-Expert Member

  #4
  Dec 21, 2011
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 6,319
  Likes Received: 439
  Trophy Points: 180
  wapi mwamvita?
   
Loading...