Mh jk hili la kuliangalia tena | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mh jk hili la kuliangalia tena

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by kibwengomwitu, Dec 21, 2011.

 1. k

  kibwengomwitu Member

  #1
  Dec 21, 2011
  Joined: Dec 19, 2011
  Messages: 6
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nimefuatilia kwa ukaribu sana na nimegundua kila ifikapo mwisho wa mwaka skukuu ya Christmas serikali hutoa fungu kwa wizara zake tofauti kwa ajili ya maandalizi ya skukuu hiyo kwa kukodi wazabuni kwa ajili ya kupamba ofisi za serikali na kutoa posho kwa wafanyakazi wote ni jambo zuri ila kwa nini skukuu ya Ealdifitri halitolewi fungu kama hili kwa mapambo na posho za wafanyakazi?.Na hili fungu linatoka katika bajeti gani ambayo inahusu skukuu ya dini moja tu Mh wewe muislamu kwa nini hupendi maendeleo yao au ndio kujikomba usipendelee toa haki sawa kama umeshindwa wacha kote.
   
Loading...