Wizi wa kitoto unaofanywa na vodacom!!

Madikizela

JF-Expert Member
Jul 4, 2009
675
439
Wakuu! ni wiki ya pili sasa kila ninapoweka pesa kwenye laini yangu ya Vodacom wana tuma message kuwa umekatwa shs. 600 kwa kutumia huduma "yako" ya swaga!!!! katika siku tano tayari wameshakata shs 930/= bila sababu yoyote, mimi wala hiyo swagga sijui ni nini! wala sijawahi ku subscribe.

Nimejaribu kupigaq customer service kama kawaida yao hawapokei. natarajia kuachana na mtandao huu lakini tatizo ni kupoteza mawasiliano na wadau wangu.

Wanajamii naomba ushauri kwenu kwa kuwa hapa bongo hakuna taasisi inayo tetea walaji!!

Christmas njema kwenu nyote!
A%20S%20465.gif

 

Similar Discussions

Back
Top Bottom