Duka la bastola na bunduki Upanga

Dec

Member
Jul 13, 2011
66
26
Ndugu wana jamii katika uchunguzi wangu nimeweza kupata data zinazoonyesha takwimu za wabunge wanao miliki bastora hapa tanzania. Takwimu za duka kuu la kuuza bastora na zana za uwindaji lipo chini ya jeshi la wananchi tanzania zimeonyesha wabunge 72% wa ccm wanamiliki bastora. Wengi wao wamewasilisha vipimo vya uwongo vya hospitali,nimeshindwa kupata majina yao kwasababu za kiusalama. Naishauri serikali ipitie upya uhakiki wa taarifa za wamiliki wa silaa na kuongeza masharti magumu kwa watu wanaotaka silaa. Pili nawashauri wabunge wa chama cha mapinduzi punguzeni uwoga kwasababu tanzania ni nchi yenye amani.
 
kujiami kwa wabunge mm nadhani kunatokana na kujishtukia kwao yaani roho zao wamezishikilia mkononi
 
Ninae mbunge mmoja namjua kwa majina yake yote na anamiliki mkuu wa kuku kinyemela
 
Sidhani kama kuna kosa mbunge kumiliki silaha. Ila je anaimiki kihalali? Anafata masharti yake?
 
Ndugu wana jamii katika uchunguzi wangu nimeweza kupata data zinazoonyesha takwimu za wabunge wanao miliki bastora hapa tanzania. Takwimu za duka kuu la kuuza bastora na zana za uwindaji lipo chini ya jeshi la wananchi tanzania zimeonyesha wabunge 72% wa ccm wanamiliki bastora. Wengi wao wamewasilisha vipimo vya uwongo vya hospitali,nimeshindwa kupata majina yao kwasababu za kiusalama. Naishauri serikali ipitie upya uhakiki wa taarifa za wamiliki wa silaa na kuongeza masharti magumu kwa watu wanaotaka silaa. Pili nawashauri wabunge wa chama cha mapinduzi punguzeni uwoga kwasababu tanzania ni nchi yenye amani.

Una hakika? Kama asilimia 72% wanamiliki silaha kwa kununua duka la upanga basi huenda ni asilimia mia wanamiliki kwa kuwa kuna maduka mengi ya kuuza silaha na hilo la Upanga ni mojawapo tu!!

Mkuu vipimo gani vya uongo?
 
Gadafi aliweza kumiliki silaha nzito zaidi ya bastola,lakini nguvu ya umma ilipoamua kuchukua maamuzi limebaki jina tu nchini Libya.

Sasa na hawa viongozi wa CCM waangalie,wasidhani kuwa na bastola kiunoni ndiyo kila kitu. Their days are numbered.
 
Ahsante kwa wote waliochangia hapo juu.

me naungana na Hoja ya kwamba kumiliki silaha ni rukhsa kwa mujibu wa sheria ila lazima ipitie mchakato wote mpaka kuja kupata (Pass) au Kibali cha kumiliki. Kama wabunge wanamiliki silaha ni kwa ajili ya Usalama wao na ni rukhsa hata kwa wewe kama una mapene ya kununua ni kwa ajili ya ulinzi Binafsi .

Anaesema Tanzania kuna amani kwa data zipi ? Tanzania Amani hakuna , juzi tu majambazi yamevamia guest House huko mikoa karibu ya wakimbizi , juzi Sheikh mwanza ameuawawa , Askari wa jeshi la police Mbeya nae ameuwawa kwa kupigwa na Nondo Mbeya , Hivi nia Nani anayewadanganya Tanzania kuna Amani, Me kwa Ushauri wangu kwa maisha ya Sasa kama unaweza kumiliki silaha uko katika usalama zaidi

Nawatakia watanzania kazi njema , wafanye kazi kwa Bidiii na kujitoa .

Mimi sina chama , sio wa CCM wala CDM

mimi mgombea BInafsi
 
Tanzania hakuna amani bali kuna utulivu wa muda tu.,amani inatoka wapi kwenye njaa?
 
Tanzania haina amani, ina utulivu.Mtu hujui utapata wapi mlo wa siku utakuwa na amani kweli.Tuombe radhi watanzania bwana.
Ndugu wana jamii katika uchunguzi wangu nimeweza kupata data zinazoonyesha takwimu za wabunge wanao miliki bastora hapa tanzania. Takwimu za duka kuu la kuuza bastora na zana za uwindaji lipo chini ya jeshi la wananchi tanzania zimeonyesha wabunge 72% wa ccm wanamiliki bastora. Wengi wao wamewasilisha vipimo vya uwongo vya hospitali,nimeshindwa kupata majina yao kwasababu za kiusalama. Naishauri serikali ipitie upya uhakiki wa taarifa za wamiliki wa silaa na kuongeza masharti magumu kwa watu wanaotaka silaa. Pili nawashauri wabunge wa chama cha mapinduzi punguzeni uwoga kwasababu tanzania ni nchi yenye amani.
 
Mimi ningependa tuwe na sheria lax kama za Marekani ili tuweze kumiliki silaha. Hawa wabunge wanaomiliki silaha hawazihitaji. Wana ulinzi wa kutosha.
Kuna mtu alisema,nadhani,kwamba utafiti hapa Tanzania umeonyesha kwamba kuongezeka kwa watu kumiliki silaha hakusababishi ongezeko la matukio ya uhalifu.
 
kumiliki Silaha hakuna ubaya wowote ila kama matumizi yake si mabaya, kama hawa hawatanunua bastora nani atanunua wakati wengine hata fedha ya kununua chakula cha mchana kwa mama lishe hatuna, acha wenzio wafanye biashara ya kuuza silaha
 
Je unadhani Ghadafi aliondolewa kwa nguvu ya umma?
Na kama ndivyo NATO wanafanya nini Libya?
Gadafi aliweza kumiliki silaha nzito zaidi ya bastola,lakini nguvu ya umma ilipoamua kuchukua maamuzi limebaki jina tu nchini Libya.

Sasa na hawa viongozi wa CCM waangalie,wasidhani kuwa na bastola kiunoni ndiyo kila kitu. Their days are numbered.
 
nadhani nivizuri tukalifahamu hilo duka, hali ikibadilika tuvamie hapo nakupata zana. japo nyepesi nyepesi wazee......
 
Ndugu wana jamii katika uchunguzi wangu nimeweza kupata data zinazoonyesha takwimu za wabunge wanao miliki bastora hapa tanzania. Takwimu za duka kuu la kuuza bastora na zana za uwindaji lipo chini ya jeshi la wananchi tanzania zimeonyesha wabunge 72% wa ccm wanamiliki bastora. Wengi wao wamewasilisha vipimo vya uwongo vya hospitali,nimeshindwa kupata majina yao kwasababu za kiusalama. Naishauri serikali ipitie upya uhakiki wa taarifa za wamiliki wa silaa na kuongeza masharti magumu kwa watu wanaotaka silaa. Pili nawashauri wabunge wa chama cha mapinduzi punguzeni uwoga kwasababu tanzania ni nchi yenye amani.

Mkuu wapunguze uoga kwani hawajui upupu wanaofunya muda wowote kwao kinaeza nuka mimi nilitegemea upinzani ndo wangekuwa nazo kwa wingi kutokana na hali halisi ya nchi yetu juu ya upinzani kumbe ndo hao magamba tena!
 
Back
Top Bottom