Vinega na waathirika | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Vinega na waathirika

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Daudi Mchambuzi, Dec 21, 2011.

 1. Daudi Mchambuzi

  Daudi Mchambuzi JF-Expert Member

  #1
  Dec 21, 2011
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 31,797
  Likes Received: 36,825
  Trophy Points: 280
  [h=6]

  [/h][h=6]‎***we do it for the people*** KAMATI KUU YA VINEGA WA ANTI-VIRUS IMEAMUA KUWA, KATIKA KILA TSHS 3,000/- YA KIINGILIO CHA CONCERT YA MBEYA DEC 24...,TSHS 1,000/- ITAENDA KWA WAATHIRIKA WA MAFURIKO YA IYUNGA MBEYA....!!![/h][​IMG]
   
 2. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #2
  Dec 21, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  Job true true wakipatikana kumi kama hawa tz kama ulaya..
   
 3. Z

  ZeMarcopolo JF-Expert Member

  #3
  Dec 21, 2011
  Joined: May 11, 2008
  Messages: 13,589
  Likes Received: 480
  Trophy Points: 180
  Good start. Ila ni muhimu VINEGA wawe makini. Pesa za VINEGA zisitumiwe na "wajanja" fulani kujijengea umaarufu wa kisiasa.
   
 4. r

  rebeca Senior Member

  #4
  Dec 21, 2011
  Joined: Dec 18, 2011
  Messages: 191
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  nimewaona vinega huko facebook,sura zimechoooooooooooooooooooooooka mnh,ruge akikudiss ndio mwisho wa maisha yako lol
   
 5. Nyamburi

  Nyamburi JF-Expert Member

  #5
  Dec 21, 2011
  Joined: Oct 28, 2011
  Messages: 306
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Hakuna umaskini mbaya kama umaskini wa kifikra!Mungu tuokoe waTanzania...
   
 6. figganigga

  figganigga JF-Expert Member

  #6
  Dec 21, 2011
  Joined: Oct 17, 2010
  Messages: 14,975
  Likes Received: 6,612
  Trophy Points: 280
  nani alikuambia vinega ni wauza sura? wapo kikazi. na kila mmoja ana mpenzi wake. kama wewe umeenda facebook kuuza sura wenzio sio kwa nia hiyo. mia
   
 7. Mzee

  Mzee JF-Expert Member

  #7
  Dec 21, 2011
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 12,971
  Likes Received: 2,966
  Trophy Points: 280
  Sugu ameamua kuwatumia wenzake kisiasa.
   
 8. kichomiz

  kichomiz JF-Expert Member

  #8
  Dec 21, 2011
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 12,000
  Likes Received: 2,655
  Trophy Points: 280
  Na Ruge anawatumia wengine kiunyonyaji.
   
Loading...