KAMA Kwame Nkrumah, Rais wa kwanza wa Ghana huru [1957] na Mwalimu Julius K. Nyerere, Rais wa kwanza wa Tanzania huru [1961], kwa pamoja wangefufuka leo na kuona jinsi Afrika inavyoyumba kufikia...
Katika benki zinazoongoza kwa huduma mbovu kabisa hapa Nchini ni hii NMB(benki ya makabwera).Wanagharama za ajabu ajabu sana kuweka pesa kwenye akaunti ya mtu mwingine unalipa 1000,kuendesha...
Ndugu wadau wenye magari weekend hii msije mkacheza fauro na kuingia mikononi mwa hawa MAJEMBE wanaokamata magari na kuyaburuta bira idhini yako.Hawa jamaa wanadai wanakamata gari lolote litakalo...
Wanabodi, kwa kawaida huwa siangalii kipindi cha Ze Comedy Original cha kina Joti kinachorushwa na TBC kwa vile niliwaona kama waopuuzi puuzi fulani hivi, lakini leo imetokea niko mahali wao the...
Watanzania;
naomba niwe muwazi, sipendi muungano, naona ni unyonyaji na kurudishana nyuma, natamani tungekua huru bila zanzibar... uhuru tulioupoteza mwaka 1964; tanganyika ni taifa lililoishi...
Waziri wa Ujenzi, Dk. John Magufuli
Baraza la Maadili la Kiislamu Tanzania, limelaani kitendo cha kuzomewa Waziri wa Ujenzi, Dk. John Magufuli, kilichofanywa na baadhi ya wakazi wa Kigamboni...
Jamani tumfanye na Rais asomage humu mara moja moja kwa kuchombeza yale mazuri anayoendelea kufanya katika jamii yetu
Hapana shaka kwa hili hatutamsahau Rais wetu, ni mtu anayependa sana...
Pamekuwepo tangazo kwenye vyombo vya habari toka ofisi ya Waziri Mkuu kuwa utabiri wa hali ya hewa unaonyesha patakuwepo na mvuakubwa itakayoambatana na upepo katika mikoa ya Kusini, Mtwara...
askari wa jeshi la polisi wa mkoa wa Morogoro wakiwa katika gari Land rover tdi yenye namba PT 1490 muda wa saa saba na nusu,wakiwa kando ya barabara indayo Dodoma katika pori...
Wadau naomben msaada.Kozi ya uaskari magereza na jwtz ipi ngumu zaid?Nauliza kwa sababu dogo anataka kujiunga sehemu 1 kati ya hizo.huku uswahilin kuna maneno ya kutisha kuliko vitendo!MSAADA...
Wadau nakuja na kiti kinachonisikitisha sana,kuna tabia sasa inakua kwa kasi ya baadhi ya wasanii wa maigizo na filimu hapa tanzania kushirikisha watoto wadogo katika matukio ya maigizo/picha,cha...
Mtoto wa Baba wa Taifa, Madaraka Nyerere aliukimbia 'Mwenge wa Uhuru' wakati yeye na kundi la watanzania wengine walipokuwa wanapanda mlima Kilimanjaro kuadhimisha miaka 50 ya Uhuru.
Kipindi...
wanajamvi naomba maoni yenu kuhusu swala hili, nimekuwa najiuliza kwanini wazee ambao walikuwa wafuasi wa siasa za mwalimu za ujamaa nakujitegemea ndio kwa kiasi kikubwa wamekumbwa na kashfa ya...
Katibu wa CCM Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye
SUMAYE AMVUTIA PUMZI NDUGAI
Waandishi Wetu
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimebaki njia panda baada ya kushindwa kuchukua hatua au kutoa tamko kuhusu...
kwa anetaka uwakala wa airtel money piga hizi namba 0717474257 (usishangae namba ni ya tigo .mi nimeajiriwa .hvyo naendelea kutumia namba yangu ya tigo though workng 4 airtel) .kinacho itajika ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.