Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

wadau naomba mwenye taarifa za matokeo ya TBL shares atujuze maana walisema tarehe 06 januari 2012 wangetangaza. Update please.
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Mgomo wa madaktari katika Hospitali ya Rufaa ya Dodoma umemalizika jana asubuhi baada ya madaktari hao kulipwa madai yao juzi jioni. Mgomo huo uliosababisha kudorora kwa utoaji wa huduma kwa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Hivi ile kesi ya yule mwanasheria Arusha aliye kamatwa na hela nyingi za kigeni imeishia wapi? Kuna anaye jua?
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wana JF. Raia mmoja wa Marekani (jina tunalo) amemsakizia mbwa, msichana wa Kitanzania mwenye umri wa miaka 21, na kumsimamia mbwa huyo katika kumwingila msichana huyo kinyume cha maumbule na...
1 Reactions
85 Replies
8K Views
Kwa kawaida kiongozi akitoa kauli au tamko jamii inafahamu kuwa anamaanisha. Hii ni kutokana na imani yetu kwamba kiongozi anapozungumza anakuwa well informed na kauli yake inatokana na taarifa...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
WanaJF naombeni kwa yeyote anayezifaham namba za waziri wa afya anisaidie.
0 Reactions
0 Replies
928 Views
Leo Mhe John Pombe Magufuri, ameutangazia umma kuwa daraja la kigamboni liko njiani kujengwa muda wowote kuanzia sasa, binafsi najiuliza ndio kupooza hasira za wana-...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Jamani wana JF kuna grocery moja ipo mwenge pembeni na HOME GYM yaani kama unatokea msikitin mwenge unaanza mlango wa grocery hiyo ndiyo unaingia mlango wa HOME GYM. Ukifika katika grocery hiyo...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Ni furaha yangu na kwa wote walioweza kuingia mwaka mpya salama lakn pia natoa pole kwa wale wote ambao kwa namna moja ama nyingne wamekutana na vikwazo katika kuumaliza na kuingia mwaka mpya...
1 Reactions
44 Replies
8K Views
kijana mmoja anayejulikana kwa jina la warioba masaho a.k.a Manyumba.mkazi wa buzuruga/nyakato jijini mwanza,ambaye alikuwa akitafutwa baada ya kufanya mauaji katika kitongoji cha...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
UWANJA wa ndege wa Mwalimu Julius Nyerere umekumbwa na kashfa nyingine, baada ya abiria, Mtanzania aliyekuwa tayari amegongewa muhuri wa uhamiaji kwenye hati yake ya kusafiria kwenda nje ya nchi...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Sunday, 08 January 2012 13:12 Elias Msuya KUKIWA na maandalizi kabambe ya ujenzi wa mji mpya wa Kigamboni, uchunguzi umebainika kuwa mji huo sasa umeyeyuka kiaina na huenda usitekelezwe tena...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Tangu amwagiwe tindikali kwa sababu ambazo hadi leo hazijulikani kutokana na kujitokeza madai mbali mbali kuanzia ugoni hadi uanaharakai, Mwandishi Saidi Kubenea amekuwa akienda India kila mara...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Kikao kinatarajiwa kuanza mda wowote kuanzia sasa na agenda bado sijapata.
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Ili kupunguza foleni kwa sasa wakati tukisubiri ujenzi wa barabara za kupita juu, na kuhakikisha kuwa Sekta Yetu ya Elimu inakuwa bora zaidi kwa ngazi zote (hasa shule za msingi), napendekeza...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Wiki hii yameripotiwa matukio kadhaa ya ujambazi ambapo watu wameuawa kwa nyakati tofauti na hivyo kuleta mtikisiko unaotishia amani ya nchi yetu. Kibaya zaidi, miongoni mwa matukio haya...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Mtoto wa kikwete alisha mpiga mkwara mbuzi Dr slaa na kutishia kumpeleka mahakamani eti akidai Dr Slaa amemzushia kuwa yeye ni milionea na ana miliki maroli na vituo vya mafuta. Aliahidi...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Wakuu ni siku chache tu nyuma ndugu zetu Wa tz bara mlisherehekea Miaka 50 ya Uhuru, Mungu ndie ajuae ni shilingi ngapi ziliteketea katika maadhimisho hayo. na sasa hivi hapa kwetu visiwani...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Heri ya mwaka mpya wana jf woote Mara nyingi nimekuwa najiuliza maswali mara niendapo kwenye msiba, wanawake huwa wanaliiiia kwenye msiba hata kama aliyekufa hawamjui, mwanamke atalia kwa uchungu...
0 Reactions
29 Replies
8K Views
Hatma ya wapangaji kitendawili Baadhi ya wathirika wa mafuriko katika kambi ya Azania wakipandisha mizigo yao katika gari la jeshi la ulinzi tayari kuhamia katika kambi nyingine ya Ubungo...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Back
Top Bottom