Wenye magari kaeni chonjo wizi mpya waibuka jijini DAR | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wenye magari kaeni chonjo wizi mpya waibuka jijini DAR

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by LEGE, Jan 7, 2012.

 1. LEGE

  LEGE JF-Expert Member

  #1
  Jan 7, 2012
  Joined: Oct 14, 2011
  Messages: 4,560
  Likes Received: 4,275
  Trophy Points: 280
  Ndugu wadau wenye magari weekend hii msije mkacheza fauro na kuingia mikononi mwa hawa MAJEMBE wanaokamata magari na kuyaburuta bira idhini yako.Hawa jamaa wanadai wanakamata gari lolote litakalo paki kwenye parking bubu,car wash bubu na gereji bubu.Kutokana na mpangilio wa jiji letu vitu hivikuviepuka ni ngumu sanaa.
  Ujambazi huo huanzia hapa mbali na kukamata gari yako na kuiburuta na kuiharibu matairi,kuipasua taa,show na kuikwangua rangi
  1-Hawa jamaa huwa wanaiba baadhi ya vifaa kama taa,bulb,sait mirrow,relay,ignition coil,ignition cable,power window,mifuniko ya tank la mafuta,engine,hydrolic,dip stik,rejeta n.k

  kwani kazi hii hufanywa na watu ambao ni wavuta bangi,vibaka na waganga njaa wa kutupwa.

  2-kuna 100% yakuibiwa gari yako moja kwa moja kwani hawa jamaa wenyewe hufika na kuifunga gari na kuiburuta tuu,kuna raia alikuwa analalamika kuwa gari yake imevutwa na kaenda yard kwao karikosa na wao wanakataa kwamba hawatalivuta.

  KAENI CHONJO JAMANI WANDUGU
   
 2. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #2
  Jan 7, 2012
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,750
  Likes Received: 456
  Trophy Points: 180
  Umetoa taarifa polisi?
   
 3. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #3
  Jan 7, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 29,295
  Likes Received: 4,266
  Trophy Points: 280
  huu wizi una mkono wa nani? Mbona haya mambo yanaachiwa kiholela?
   
 4. Somoche

  Somoche JF-Expert Member

  #4
  Jan 7, 2012
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 3,562
  Likes Received: 630
  Trophy Points: 280
  Sisi wenyewe tuko holela sehemu ya makazi ndio hapo hapo kuna baa,kuna genge kuna uchafu yani huu mji wa Dar sijui tuufanyaje,,,halafu tunajifanya hamnazo eti tunazoea!!
   
 5. figganigga

  figganigga JF-Expert Member

  #5
  Jan 7, 2012
  Joined: Oct 17, 2010
  Messages: 13,909
  Likes Received: 3,538
  Trophy Points: 280
  kuna na wale vibaka wa sinza wanaenda kuiba magari parking za chuo kikuu dar es salaam na mlimani city. mkiwa maeneo hayo kaeni chonjo. Mia
   
 6. Rocket

  Rocket Senior Member

  #6
  Jan 7, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 134
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  kazi ipo
   
 7. LEGE

  LEGE JF-Expert Member

  #7
  Jan 7, 2012
  Joined: Oct 14, 2011
  Messages: 4,560
  Likes Received: 4,275
  Trophy Points: 280
  mkuu hawa jamaa wanaboa sana kinachonikera na kuniuma gari wanazozikamata sana ni tax na za watu wakawaida lakini stk,su,dfp n.k au mashangingi ya mana v6 ,v8 n.k wanaziacha na kuzipitia mbali.

  Naomba nikuulize hv kama kariakoo kuna parking maalum.
  Mim ningewaomba watoe elimu na kuwaelekeza wananch maeneo husika.Na kuweka matangazo sehemu ambazo siyo husika.
   
 8. LEGE

  LEGE JF-Expert Member

  #8
  Jan 7, 2012
  Joined: Oct 14, 2011
  Messages: 4,560
  Likes Received: 4,275
  Trophy Points: 280
  nazani kwa style hii ya majembe lzm watafungua mlango mpana sana wa majambazi wa magari kuiba gari za watu kwa style hiyo ya kujifanya majembe.
  Kuna watu tayari washarizwa
   
 9. RasJah

  RasJah JF-Expert Member

  #9
  Jan 7, 2012
  Joined: Nov 5, 2009
  Messages: 688
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Jana nilikuwa napata konyagi yangu pale hongera bar.. truely hawa jamaa wanazibeba gari mzobe mzobe zile zilikua zimepark barabarani tena kwa break down kudadek konyagi yote ilikata pale pale nikakimbiza ngalangala langu
   
 10. LEGE

  LEGE JF-Expert Member

  #10
  Jan 7, 2012
  Joined: Oct 14, 2011
  Messages: 4,560
  Likes Received: 4,275
  Trophy Points: 280
  umeona mkuu wanavyozitenda hakika kama unajua uchungu wa gari na bei ya tair ukilinganisha na life la sasa unaweza ukaua mtu.
  Wale majembe niwathenge sana mie nimeshuhudia wanaiburuta gari 1 show ya mbele ishang'oka na tair zimebast na inatembelea rim
   
 11. ofisa

  ofisa JF-Expert Member

  #11
  Jan 7, 2012
  Joined: May 15, 2011
  Messages: 1,261
  Likes Received: 312
  Trophy Points: 180
  Miaka 50 ya ushuru,hatijaweza kujiwekea ustaarabu wenu wenyewe mzuri
   
 12. chapaa

  chapaa JF-Expert Member

  #12
  Jan 7, 2012
  Joined: Feb 19, 2008
  Messages: 2,355
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 135
  hata kama ni ugumu wa maisha sio kutafuta kwa staili hiyo
   
 13. M

  Mokoyo JF-Expert Member

  #13
  Jan 7, 2012
  Joined: Mar 2, 2010
  Messages: 13,556
  Likes Received: 928
  Trophy Points: 280
  washenzi hawana tofauti na wale wanaojificha kuvizia watu wakojoe wawachaji elfu 50! Badala ya kuweka vyoo vya kulipia
   
 14. mmbangifingi

  mmbangifingi JF-Expert Member

  #14
  Jan 7, 2012
  Joined: Mar 9, 2011
  Messages: 2,853
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Nchi haina mwenyewe hiyo,yeyote anabuni mbinu ya kusaka pesa anacolude na baadhi ya walioko serikalini wanaingia mtaani, dawa ni kufanya kama walivofanyiwa mabaunsa wale wa kampuni gani cjui ya udalali walienda kuwabomolea watu makazi yao cjui ni tegeta ile
   
 15. ndyoko

  ndyoko JF-Expert Member

  #15
  Jan 7, 2012
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 4,884
  Likes Received: 192
  Trophy Points: 160
  wafanyieni kama alivyowahi kufanya yule dereva wa Nissan Hard body wa UDSM miaka kadhaa ilopita city center ili watie adabu hao wajinga
   
 16. Moshe Dayan

  Moshe Dayan JF-Expert Member

  #16
  Jan 7, 2012
  Joined: Feb 10, 2008
  Messages: 810
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 45
  alifanyaje dere wa adi bodi....,
   
 17. ENZO

  ENZO JF-Expert Member

  #17
  Jan 7, 2012
  Joined: Sep 30, 2010
  Messages: 3,949
  Likes Received: 415
  Trophy Points: 180
  Asante mkuu kwa taarifa ngoja nianze kutembea na BASTOLA ........
   
 18. R

  Renegade JF-Expert Member

  #18
  Jan 7, 2012
  Joined: Mar 18, 2009
  Messages: 3,253
  Likes Received: 618
  Trophy Points: 280
  Kuweni makini na hawa jamaa, na huyo seth ni Tapeli tu. Dizaini za dhuluma dhuluma na ndiyo aina ya watu anaowaajiri.
   
 19. nyabhingi

  nyabhingi JF-Expert Member

  #19
  Jan 7, 2012
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 9,321
  Likes Received: 2,346
  Trophy Points: 280
  haya wenye magari mi namiliki baskeli
   
 20. Mulhat Mpunga

  Mulhat Mpunga JF-Expert Member

  #20
  Jan 7, 2012
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 22,216
  Likes Received: 9,263
  Trophy Points: 280
  ungechelewa ungelikuta kwenye vyuma chakavu
  chezea maagembe weye


   
Loading...