je! nikweli kwamba mafisadi wengi ni viongozi wa tangu mwalimu? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

je! nikweli kwamba mafisadi wengi ni viongozi wa tangu mwalimu?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by majata, Jan 7, 2012.

 1. majata

  majata JF-Expert Member

  #1
  Jan 7, 2012
  Joined: Oct 7, 2010
  Messages: 385
  Likes Received: 54
  Trophy Points: 45
  wanajamvi naomba maoni yenu kuhusu swala hili, nimekuwa najiuliza kwanini wazee ambao walikuwa wafuasi wa siasa za mwalimu za ujamaa nakujitegemea ndio kwa kiasi kikubwa wamekumbwa na kashfa ya ufisadi.
   
 2. Bi. Kiroboto

  Bi. Kiroboto Member

  #2
  Jan 7, 2012
  Joined: Dec 22, 2011
  Messages: 36
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Akina RA au?
   
 3. N

  NIMIMI Senior Member

  #3
  Jan 7, 2012
  Joined: Apr 2, 2011
  Messages: 170
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33  usichokijua nini? Kama unawafahamu kwa majina nenda kwenye Biography yao utafahamu muda walioongoza! Na kwa nyongeza waliopita JKT ndo wezi.
   
 4. Captain22

  Captain22 JF-Expert Member

  #4
  Jan 7, 2012
  Joined: Aug 25, 2011
  Messages: 618
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 45
  Wakati ya mwalimu walibanwa sana, sasa imekuwa kama paka katoka....
   
 5. Ndibalema

  Ndibalema JF-Expert Member

  #5
  Jan 7, 2012
  Joined: Apr 26, 2008
  Messages: 10,916
  Likes Received: 131
  Trophy Points: 160
  Akina Kingunge, Basil Mramba nk walikuwepo tangu enzi hizo.
  Ila mafisadi wa kizazi hiki wamepitiliza.
   
 6. LE GAGNANT

  LE GAGNANT JF-Expert Member

  #6
  Jan 7, 2012
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 1,247
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Enzi za mwalimu walikuwa wanaogopa, sasa ni ruksa, kwani wana uhakika wa kulindwa na kutetewa!
   
 7. t

  tizo1 JF-Expert Member

  #7
  Jan 8, 2012
  Joined: Mar 9, 2011
  Messages: 857
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 45
  ENZI ZILE UKIWA MWIZI UNAKOSA SUPPORT.SASA HIVI WEZI NI WENGI. Na wanasaidiana KUFICHANA.PAKA AKIONDOKA PANYA HUTAWALA
   
 8. chapaa

  chapaa JF-Expert Member

  #8
  Jan 8, 2012
  Joined: Feb 19, 2008
  Messages: 2,355
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  mkuu wa kaya ndo kiranja wao mkuu ndo maana wanapeta tu
   
Loading...