Tuchukue tahadhari gani kuhusu Mvua zijazo???!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tuchukue tahadhari gani kuhusu Mvua zijazo???!!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by moshingi, Jan 8, 2012.

 1. m

  moshingi JF-Expert Member

  #1
  Jan 8, 2012
  Joined: Nov 15, 2011
  Messages: 278
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Pamekuwepo tangazo kwenye vyombo vya habari toka ofisi ya Waziri Mkuu kuwa utabiri wa hali ya hewa unaonyesha patakuwepo na mvuakubwa itakayoambatana na upepo katika mikoa ya Kusini, Mtwara, Lindi, Ruvuma, Iringa, na Mbeya hivyo wananchi tuchukue tahadhari. Nadhani tangazo hilo lina mapungufu, ilipaswa patolewe ufafanuzi kuhusu ni tahadhari ipi ichukuliwe. Mfano wakati ule wa vita ya Amini tulifundishwa kuwa tukisikia king'ora tukimbilie kujificha kwenye mahandaki kama tahadhari dhidi ya
  mabomu au risasi. Sasa Mvua zijazo tuchukue tahadhari ipi dhidi ya upepo mkali na mvua???
   
Loading...