meningitis
JF-Expert Member
- Nov 17, 2010
- 8,349
- 4,674
tune to clouds fm.tusikie mkasa huu.
Inasikitisha sana ukiwasikiliza hawa ma intern. Yaani watu wanaookoa maisha ya watu wanashindwa kulipwa posho ndogo tu kwa mwezi lakini wale wananaosinzia bungeni wanalipwa haraka sana posho zao za kila kikao. Nchi hii..!tune to clouds fm.tusikie mkasa huu.
hivi inakuaje hawa madaktari waende wizarani kutafuta posho zao badala ya kuwa wodini na kuwatumikia watanzania.
Na hao wanaowabadili wenzao wao watalipwaje?
kuna interns wapya 29 ambao wamepelekwa muhimbili ili kuwareplace interns 229 ?!
Nadhani hapo kuna tatizo kubwa, mkurugenzi alitakiwa kutumia busara nyingi sana. kuwafukuza haisaidii hata kidogo ni kuwaumiza wagojwa. Naomba mgomo wa wagonjwa uitishwe.