NMB Bank hovyooo kabisa! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

NMB Bank hovyooo kabisa!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Kennedy, Jan 7, 2012.

 1. Kennedy

  Kennedy JF-Expert Member

  #1
  Jan 7, 2012
  Joined: Dec 28, 2011
  Messages: 11,347
  Likes Received: 2,984
  Trophy Points: 280
  Katika benki zinazoongoza kwa huduma mbovu kabisa hapa Nchini ni hii NMB(benki ya makabwera).Wanagharama za ajabu ajabu sana kuweka pesa kwenye akaunti ya mtu mwingine unalipa 1000,kuendesha akaunti kwa mwezi unalipia,kutoa hela kwenye atm unalipa.Cha ajabu pamoja na mteja kulipa gharama nyingi bado huduma ni duni tena mteja ni fara anapofika ktk benki hii.Mfano hapa KASULU tangu asbh saa tano mpaka wkt huu saa moja usk ATM MACHINE haitoi huduma yoyote watu wanataabika wakati wamekuja kuchukua pesa ambazo mtu ameweka.ubora wa huduma zenu ukowapi ndani ya benki dail mtandao unasumbua kuweka pesa mteja inamchukua masaa matano.hata makao makuu hamlijui hili wananchi wote tunajua fika hakuna huduma ya bure ktk benki lakini lzm mboreshe service nadhani hii benki ni kero nchi nzima,kama faida mnapa dail kwa gharama za wateja.wakuu mwenye kuwajua viongozi wa nmb makao makuu tafadhali awaambie!huu ni mwaka mpya watu wanamahitaji mengi ya pesa kwaajili ya kupeleka vijana shule n.k
   
 2. Losambo

  Losambo JF-Expert Member

  #2
  Jan 7, 2012
  Joined: Nov 8, 2011
  Messages: 2,623
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Duuuuh pole sana kaka, hamia CRDB au Stanbic upunguze kero. Halafu nasikia ni banki inayoongoza kwa wizi kwenye akaunti za watu!!!!!
   
 3. Kennedy

  Kennedy JF-Expert Member

  #3
  Jan 7, 2012
  Joined: Dec 28, 2011
  Messages: 11,347
  Likes Received: 2,984
  Trophy Points: 280
  Mkuu huku village kwetu ndy only bank japo CRDB wameleta MOBILE yao,unajua hata atm kadi lzm uchukulie kwenye tawi ulilofungulia akaunti,hata km uko mbeya then atm ikaisha muda wa kutumia utalazimika kurudi ulikofungulia.lakini hawa jamaa wa tembocard huduma zao zinaridhisha.
   
 4. s

  siyenda Member

  #4
  Jan 7, 2012
  Joined: Oct 1, 2010
  Messages: 58
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  kweli NMB haifai kwani hapa KIBONDO hata huduma kwa wateja kauli zao mbovumbovu,kuna matangazo yapo pale kwamba na fomu kila mwenye akaunti anatakiwa ajaze,ukiulizia hizo fomu anakwenda muda bado huku toka novemba hilo tangazo lipo.PIA makato yamekuwa mengi mno natamani hata nihamie benk nyingine lakini hapa KIBONDO hatuna benk nyingine tofauti na NMB.NMB kero kero
   
 5. Kennedy

  Kennedy JF-Expert Member

  #5
  Jan 7, 2012
  Joined: Dec 28, 2011
  Messages: 11,347
  Likes Received: 2,984
  Trophy Points: 280
  Mkuu hapa kasulu wkt huu ndy atm inaanza kutoa huduma ila kwakweli wananchi wamezichoka sana huduma za nmb .
   
 6. Ulukolokwitanga

  Ulukolokwitanga JF-Expert Member

  #6
  Jan 7, 2012
  Joined: Sep 18, 2010
  Messages: 8,418
  Likes Received: 3,905
  Trophy Points: 280
  NMB mteja sio mfalme, mteja ni ****. Heri kuweka hela Mpesa au tigo pesa kuliko bank ya makabwela...
   
 7. Kennedy

  Kennedy JF-Expert Member

  #7
  Jan 7, 2012
  Joined: Dec 28, 2011
  Messages: 11,347
  Likes Received: 2,984
  Trophy Points: 280
  kweli kbs bora tigo au mpesa hawa nmb washenzi taipu hela zetu wenyewe lakini zinatutoa kamasi jembamba,mteja hapa fara kbs tunakusanyika km kuna shughuli kumbe tunasotea huduma.
   
 8. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #8
  Jan 7, 2012
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,348
  Likes Received: 22,194
  Trophy Points: 280
  weeee mgeni tanzania?
   
 9. Mrimi

  Mrimi JF-Expert Member

  #9
  Jan 7, 2012
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 1,675
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 145
  1. Teller ziko 5-7 wahudumu wawili
  2. Muda wa chai na lunch wanaondoka wote
  3. Unamkuta mhudumu anavyozungukazunguka kwenye kiti kama tufe, anakuangalia kama unayeomba kazi kwake
  4. Ukutani kuna nakala za vyeti kadhaa ilivyotunukiwa wa huduma nzuri wanayotoa kwa wateja.
  5. Pembeni kuna kibox kidogo kimeandikwa sanduku la maoni
  6. Mabango kadhaa yanayokuuliza kama umeridhika na huduma wanayotoa
  7. Matawi yao yanaishia mikoani na baadhi ya wilaya tu.

  Hizo ni baadhi ya sifa za benki zetu za kibongo. Karibu zote sifa zinafanana. Ole wetu sisi makabwela, ni nani atakayetusitiri na aibu hii?
   
 10. Belo

  Belo JF-Expert Member

  #10
  Jan 7, 2012
  Joined: Jun 11, 2007
  Messages: 11,280
  Likes Received: 4,286
  Trophy Points: 280
  Hii bank kweli kazi ipo ,wiki iliyopita nimeenda kudeposit fedha kwenye akaunti ya mtu eti naambiwa nilipie Tshs 1000.
   
 11. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #11
  Jan 7, 2012
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  At least inajitahidi kulipa kodi..benki ya kizalendo kabisa hii, naipongeza kwa hili. U-hovyo wa benki ni kila mahali, nashangaa mnaipick hii benki yetu ya makabwela tu kana kwamba nyenginewe zina unafuu wowote!
   
 12. The Bleiz

  The Bleiz JF-Expert Member

  #12
  Jan 7, 2012
  Joined: Jan 7, 2012
  Messages: 3,643
  Likes Received: 2,113
  Trophy Points: 280
  Mi nimeshawazoea hawa jamaa ila kiukweli huwa wanaboa sana, I hope kuna kipindi watajirekebisha ila meanwhile kuwa na account bank nyingine itasaidia..
   
 13. Ibrah

  Ibrah JF-Expert Member

  #13
  Jan 7, 2012
  Joined: Mar 22, 2007
  Messages: 2,721
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 145
  Kasulu hakuna benki nyingine zaidi ya NMB na ndio maana huduma ni mbovu. Labda kwa ushauri ni vema wateja watumie M-pesa, Tigo pesa kujiwekea akiba.
  NMB, pamoja na kuwa ya makabwela bado inaongoza kwa kuwa na gharama kubwa. Ni benki pekee inayotoza pesa kumwekea pesa mteja, ni benki pekee inayoza pesa hata kuchungulia balance yako mwenyewe
   
 14. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #14
  Jan 7, 2012
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,029
  Likes Received: 863
  Trophy Points: 280
  Nina mwaka na miezi miwili nikifata Card ya ATM napigwa kalenda eti jina langu linashindwa kutambuliwa na computer zao!!!! Wana vijimambo hawa wapuuzi bora utumie M-Pesa
   
 15. Kennedy

  Kennedy JF-Expert Member

  #15
  Jan 7, 2012
  Joined: Dec 28, 2011
  Messages: 11,347
  Likes Received: 2,984
  Trophy Points: 280
  Kwaujumla kuhusu ATM CARD ikiwa km uko tawi jingine au mkoa mwingine muda wake umekwisha huwezipata msaada wowote.ndiyo maana nembo ya sunflower sijui kilimo kwanza
   
 16. Kennedy

  Kennedy JF-Expert Member

  #16
  Jan 7, 2012
  Joined: Dec 28, 2011
  Messages: 11,347
  Likes Received: 2,984
  Trophy Points: 280
  yote haya wameyaandika kwa unadhifu kama yanatekelezwa ndani ya benki.unajua huduma inapoboa halafu unaombwa radhi wkt ni dail iko hivyo haileti maana.
   
 17. Kennedy

  Kennedy JF-Expert Member

  #17
  Jan 7, 2012
  Joined: Dec 28, 2011
  Messages: 11,347
  Likes Received: 2,984
  Trophy Points: 280
  kwa siku wanakusanya pesa tele lakini huduma unaweza fikiria hata wafanyakazi wa nmb wanajitolea may be halipwi mshahara.
   
 18. Kalunguine

  Kalunguine JF-Expert Member

  #18
  Jan 8, 2012
  Joined: Jul 27, 2010
  Messages: 2,544
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Ndg acha maneneno mengi weweeeeeeeeeeeeee. Kwani hizo zenye huduma za kisasa huzioni ndg. Hiyo ndo National Makabwela Bank. Hata siku mkuu wanchi anaizindua alisema hivyo. (MKAPA). Ndio ambayo ipo katika kila wilaya ktk nchi hizo nyingine zimeishia mijini tu. Au pale ambapo wana CORPORATE customer pekee. So kuwa mpole coz wanajiendesha kwa hasara mtu mwenyewe ukute unapitishia tu mshahara account yako hauna hela ya kuweka.

  BENKI INA WATEJA WENGI ILA SIO WATEJA WAKUBWA

  Ushauri wangu tumia alternative nyingine mfano M-PESA, TIGO-PESA, AIRTEL-MONEY.
   
 19. Kennedy

  Kennedy JF-Expert Member

  #19
  Jan 8, 2012
  Joined: Dec 28, 2011
  Messages: 11,347
  Likes Received: 2,984
  Trophy Points: 280
  ushauri wako mkuu ni wa busara sana,shukrani
   
 20. COURTESY

  COURTESY JF-Expert Member

  #20
  Jan 8, 2012
  Joined: Jun 16, 2011
  Messages: 2,018
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  Dawa yao iko jikoni tunawasubiri equity bank wafungue bank zao tuwahame...!
   
Loading...