Mhmmm! Airtell money | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mhmmm! Airtell money

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by networker, Jan 7, 2012.

 1. networker

  networker JF-Expert Member

  #1
  Jan 7, 2012
  Joined: Apr 23, 2011
  Messages: 572
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 45
  kwa anetaka uwakala wa airtel money piga hizi namba 0717474257 (usishangae namba ni ya tigo .mi nimeajiriwa .hvyo naendelea kutumia namba yangu ya tigo though workng 4 airtel) .kinacho itajika ni copy ya leseni ya biashara , kitambulisho Tin namba na barua toka kwa mtendaji, bei ya kuanzai kufungua account yako kama wakala ni 3000 kwa biashara ndogo na 300000 kwa biashara kubwa. wakala analipwa kwa kamishen ya 200 kuweka na 250 kutoa kwa kichwa kimoja / kwa mteja moja.hii inamana ukipata watu 100 kwa siku unazidisha 100 mara 200 au 250 inakuwa ndio kamishen yako kwa siku ukipata watu 50 unazidisha tu unapokea kamishen yako .zingatia hyo kamishen sio fixed mteja akichukua au akiweka hela kubwa kamishen ina ongezeka sawa sawa na kiwango cha hela ya mteja. Hyo 200 na 250 ni kwa kiwango cha 900 hadi 4999
   
 2. Msarendo

  Msarendo JF-Expert Member

  #2
  Jan 7, 2012
  Joined: Jan 29, 2011
  Messages: 9,136
  Likes Received: 3,328
  Trophy Points: 280
  Mnaua Bank wakuu.
   
 3. P

  Parachichi JF-Expert Member

  #3
  Jan 7, 2012
  Joined: Jul 22, 2008
  Messages: 517
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  airtel money mbona wanatakiwa wapige namba za tigo?hujaeleweka mkubwa!
   
 4. mikatabafeki

  mikatabafeki JF-Expert Member

  #4
  Jan 7, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 12,837
  Likes Received: 2,101
  Trophy Points: 280
  mkuu hebu acha kukurupuka na kutaka kuchanganya watu hebu zisome tena hizo namba ni za mtandao gani.
   
 5. Clarity

  Clarity JF-Expert Member

  #5
  Jan 7, 2012
  Joined: Jul 6, 2010
  Messages: 811
  Likes Received: 329
  Trophy Points: 80
  Jipange upya ndg, Airtel Money Number ya kupiga ???????
   
 6. Tusker Bariiiidi

  Tusker Bariiiidi JF-Expert Member

  #6
  Jan 7, 2012
  Joined: Jul 3, 2007
  Messages: 4,757
  Likes Received: 181
  Trophy Points: 160
  Bora kama wahitaji Service hii uende ofisi zao husika...
   
 7. networker

  networker JF-Expert Member

  #7
  Jan 7, 2012
  Joined: Apr 23, 2011
  Messages: 572
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 45
  Mi nko employed kufind wakala . Nimeweka namba zangu nazo tumia.
   
 8. networker

  networker JF-Expert Member

  #8
  Jan 7, 2012
  Joined: Apr 23, 2011
  Messages: 572
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 45
  Nime ajirwa kutafuta wakala kwa ajili ya airtel money namba yangu nayo tumia ndio hzo za tigo.
   
 9. networker

  networker JF-Expert Member

  #9
  Jan 7, 2012
  Joined: Apr 23, 2011
  Messages: 572
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 45
  Alie kurupuka nani kati yangu na wewe.soma ujumbe kama una mudu piga kama humudu sepa. Ulicho kiandika ni kama kumwambia mchungaji unaomba namba zake ukitegemea itakuwa na kimsalaba. Be a great thinker and nt an easy to speak
   
 10. Jayfour_King

  Jayfour_King JF-Expert Member

  #10
  Jan 7, 2012
  Joined: Nov 15, 2009
  Messages: 1,142
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Umepotea jukwaa ungekwenda kuleeee!! matangazo madogomadogo sio huku mkuu, tutaona kama hauko serious kwamba staff wa Airtel kuwa na line ya tigo si ajabu tatizo ni pale unapotangaza biashara ya mwajiri wako at the same time unamtangaza mshindani wake kibiashara!

  Ningekuwa ni mimi niliyekupa hiyo kazi ningekupiga bonge la BAN! Na hapo hata labour huendi kwa kuwa huo ni aina ya uzembe ambao waajiri wengi hawawezi kuvumilia. Ni sawa na kuendesha gari bila kucheck engine oil.
   
 11. networker

  networker JF-Expert Member

  #11
  Jan 7, 2012
  Joined: Apr 23, 2011
  Messages: 572
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 45
  Mi nimeajirwa kufind wakala wa huduma ya airtel money .ndio nimeweka namb zangu binafsi .kama nikipewa namba ya airtel nitazitoa ila kwa sasa natumia zangu binafsi ambazo ni za tigo
   
 12. networker

  networker JF-Expert Member

  #12
  Jan 7, 2012
  Joined: Apr 23, 2011
  Messages: 572
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 45
  Hahahaha ukiuziwa range ina engine ya benz kosa lako au la range maker.mi nimeajirwa na wakala wa airtel sio airtel direct na wakala huyu haja nipa line ya kazi mi nifanyaje na kazi nataka
   
 13. Jayfour_King

  Jayfour_King JF-Expert Member

  #13
  Jan 7, 2012
  Joined: Nov 15, 2009
  Messages: 1,142
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Umenifurahisha sana na umenifanya nicheke sana pia peke yangu.
  Ila kwa sasa tunaweza kuelewana kwa sababu kwenye main thread uliandika kwamba umeajiriwa na Airtel, hukusema kwamba umeajiriwa na wakala.

  Kama ndivyo piga kazi baba mungu anakuona.
   
 14. Ikeli Nagiva

  Ikeli Nagiva Member

  #14
  Jan 7, 2012
  Joined: Jan 7, 2012
  Messages: 57
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Asante mkuu ila malipo hayo kidogo sana. Kwa nini wasilipe kamisheni kulingana na volume ya pesa inayoingia na kutoka. Unaweza kuwa na wateja kumi wa viwango vya milioni 20 kwa siku wakati mwenzako ana wateja mia wa viwango vya milioni tatu kwa siku. Jamaa wa kwanza atakuwa anawaingizia Airtel faida kubwa zaidi kuliko jamaa wa pili. Kwa utaratibu uliyouonyesha jamaa wa kwanza atakuwa anapunjika zaidi kuliko jamaa wa pili.
   
 15. networker

  networker JF-Expert Member

  #15
  Jan 8, 2012
  Joined: Apr 23, 2011
  Messages: 572
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 45
  hiyo sio fixed kwa kila deposit au withdraw mchanganuo nlio uonesha ni kwa kiwango cha 1000 hadi 5000.kadri elewa inavyo ongezeka wakati mteja anapo chukua au kutoa kamishen ina ongezeka kutokana na kiasi .hyo 200 na 250 ni kwa kiwango cha 1000 hadi 5000
   
 16. Shark

  Shark JF-Expert Member

  #16
  Jan 8, 2012
  Joined: Jan 25, 2010
  Messages: 20,105
  Likes Received: 7,363
  Trophy Points: 280
  Mkuu,
  Umesomeka sana tu.
  Kama kuna ambae hajakusoma basi huyo ana lake jambo!!!
  Hapa ndio jukwaa la mambo mseto, hivyo kila kitu kinaingia hapa!!
  Halafu kama kuna ulazima sana ndio jamaa wataihamishia kunakohusika,
  Pamoja sana tu!!!!
   
 17. kukomya

  kukomya JF-Expert Member

  #17
  Jan 8, 2012
  Joined: Sep 20, 2011
  Messages: 344
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 35
  Kwenye red Kwa muda wote mimi nimekuwa nikielewa kwamba kufanya kazi na Airtel, Vodacom,Tigo au mtandao wowote hakumwondolei mhusika haki zake za msingi za kujiunga na mtandao wowote aupendayo na ndiyo maana sijashangaa hata kidogo mara kadhaa nilipokutana na jamaa zangu wafanyakazi katika moja ya mashirika hayo wakinipa contacts zao zinazo include za mitandao ya wapinzani wao kibiashara. Kwa hiyo mi namwona kama mtu ambaye hajakosea lolote kwa maana wakala si lazima awe mwajiriwa wa moja kwa moja na mtandao husika.
   
Loading...