Rushwa ya waziwazi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Rushwa ya waziwazi

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Al shabab, Jan 8, 2012.

 1. Al shabab

  Al shabab Member

  #1
  Jan 8, 2012
  Joined: May 21, 2011
  Messages: 71
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  askari wa jeshi la polisi wa mkoa wa Morogoro wakiwa katika gari Land rover tdi yenye namba PT 1490 muda wa saa saba na nusu,wakiwa kando ya barabara indayo Dodoma katika pori fulani,wamekabidhiwa MACHUNGWA MIFUKO MIWILI na utingo wa basi la SIMBA MTOTO huku abiria wote wanatazama,baada ya tukio hilo waliruhusiwa waondoke.nchi imekwisha,hata woga hawana.
   
Loading...